Hata kama barozi wa akhera at na peponi watatoa matamko chadema hawawezi kamwe kuandamana,by the way hao mabarozi hawawezi kutuamulia juu ya swala jema na baya ndani ya nchi yetu
Walishindwa kutoa tamko enzi za Hon. JPM waje watoe sasa hivi kuwaunga ngenge la wahuni chadema !?