23 June 2025 historia kwenda kujirudia . Mwanazuoni rabbi afafanua
View: https://m.youtube.com/watch?v=tCx0oNy1DnI
Rabbi anaingia kwa kina kuangalia historia hii katika kitabu kitakatifu :
Katika Kitabu cha Esta, siku ya 23 ya mwezi wa Kiebrania wa Sivan iliashiria kipindi cha badiliko kutoka kwenye maangamizi yanayokaribia hadi kwa amri iliyowaruhusu watu wa Kiyahudi kujilinda dhidi ya tishio la Hamani la kuangamizwa .
(Ona Esta 8:9 ) Na tukio hilo lilitukia wapi? Katika Uajemi, ambayo ni Iran ya kisasa...