Hio ni ndoto mkuu Iran yupo kamili kwa vita sio hamas haoKuelekea saa za usiku mnene mwanzo kabisa wa siku ya Jumatatu tarehe 23 Juni 2025, siku muhimu katika kalenda ya kiEbrania inakwenda kujirudia.
Endelea kuota ukanisa ni ukenge kesho ndio mtagunduo bibilia zenu zimewapoteza23 June 2025 historia kwenda kujirudia . Mwanazuoni rabbi afafanua
View: https://m.youtube.com/watch?v=tCx0oNy1DnI
Rabbi anaingia kwa kina kuangalia historia hii katika kitabu kitakatifu :
Katika Kitabu cha Esta, siku ya 23 ya mwezi wa Kiebrania wa Sivan iliashiria kipindi cha badiliko kutoka kwenye maangamizi yanayokaribia hadi kwa amri iliyowaruhusu watu wa Kiyahudi kujilinda dhidi ya tishio la Hamani la kuangamizwa .
(Ona Esta 8:9 ) Na tukio hilo lilitukia wapi? Katika Uajemi, ambayo ni Iran ya kisasa...
Eti Esta, sijaangalia hii clip lakini kwa ninavyojua kitabu cha Esta hakiwezi kuwa na uhusiano na vita hii.23 June 2025 historia kwenda kujirudia . Mwanazuoni rabbi afafanua
View: https://m.youtube.com/watch?v=tCx0oNy1DnI
Rabbi anaingia kwa kina kuangalia historia hii katika kitabu kitakatifu :
Katika Kitabu cha Esta, siku ya 23 ya mwezi wa Kiebrania wa Sivan iliashiria kipindi cha badiliko kutoka kwenye maangamizi yanayokaribia hadi kwa amri iliyowaruhusu watu wa Kiyahudi kujilinda dhidi ya tishio la Hamani la kuangamizwa .
(Ona Esta 8:9 ) Na tukio hilo lilitukia wapi? Katika Uajemi, ambayo ni Iran ya kisasa...
Ngoja tuone.Endelea kuota ukanisa ni ukenge kesho ndio mtagunduo bibilia zenu zimewapoteza
Hizo bibilia zao zitawapeleka motoni tu hahahaUzuri ni kesho kutwa tu.. Nitarudi hapa
HahahaHizo bibilia zao zitawapeleka motoni tu hahaha
Israel hoi mda wa week watu zaidi ya 30,000 wanataka walipwe je wakienda mwezi tu
View: https://youtu.be/F51fzcY7ZiM?si=z0I0Y056RYdLBP1o
Vitu leo vimeanguka huko we lalala tu leo kilikuwa kipigo cha drones subirini leo usikuLeo Iran kapoa sana hajarusha zile kitu zake
Muda gani maana mi naifatilia kuliko wewe, leo Iran hajarusha missilesVitu leo vimeanguka huko we lalala tu leo kilikuwa kipigo cha drones subirini leo usiku
View: https://youtu.be/iuMMoEFRNMU?si=55vLejgIxI3C0_cp
Endelea kuota ukanisa ni ukenge kesho ndio mtagunduo bibilia zenu zimewapoteza
Kumbe Israel inalipa kisasi Cha kale.23 June 2025 historia kwenda kujirudia . Mwanazuoni rabbi afafanua
View: https://m.youtube.com/watch?v=tCx0oNy1DnI
Rabbi anaingia kwa kina kuangalia historia hii katika kitabu kitakatifu :
Katika Kitabu cha Esta, siku ya 23 ya mwezi wa Kiebrania wa Sivan iliashiria kipindi cha badiliko kutoka kwenye maangamizi yanayokaribia hadi kwa amri iliyowaruhusu watu wa Kiyahudi kujilinda dhidi ya tishio la Hamani la kuangamizwa .
(Ona Esta 8:9 ) Na tukio hilo lilitukia wapi? Katika Uajemi, ambayo ni Iran ya kisasa...
Kumbe Israel inalipa kisasi Cha kale.
Ni sisi tu wamatumbi ambao hatutaki kuwajua waliotutia katika urtumwa, ukoloni. Tunaona aibu kusimulia tunajifanya historia hiyo haikuwepo. Ila wenzetu wanasimulia bila kuona aibu wala soni, ili vizazi vya sasa visirudi kuwa watumwa, makoloni au vijakazi wa jamii nyingine
Leo Iran kapeleka drones zimepiga nyingi target vitu vitanza kuteremka baada ya dakika 45 hukoMuda gani maana mi naifatilia kuliko wewe, leo Iran hajarusha missiles