June 23 TEHRAN kupigwa pigo takatifu, Kitabu cha Esther tarehe 23 kwa kalenda ya Kiyahudi

Leo operarion Arnania israel wameua nuclear scientist wa iran wote.
 
Kuna mazwazwa kweli kweli
 
Leo operarion Arnania israel wameua nuclear scientist wa iran wote.
Israel amekuwa akibweka kuhusu uran kwa zaidi ya miaka 30 sasa ,pamoja na vikwazo alivyokuwa navyo iran kwa miaka yote hiyo ,israel kwa iran ni kama panya tu ,hana nguvu na uwezo wa kupigana na iran
Ni lazima uingereza, marekani ,ufaransa na ujerumani waungane ndio wataweza ,peke yake hachukui hata siku moja israel anapotezwa mazima na israel inafahamu hilo
 
Wanayo nuclear yenyewe?
 
Wanayo nuclear yenyewe?
Iran mabomu ya nuclear hawezi kosa kama uraniam anayo ya kutosha unadhani vikwazo vya Marekani ndivyo vilimfanya asizalishe nuclear

Angalia Israel alikuwa anatarget wapi si kwenye nuclear sites
 
Haya maneno tu, leo ni siku ya 11 tangu vita ianze tunasikia maneno tuu, Iran itaanza lini kutuonyesha uwezo wake huo?

Inaogopa nini kuanza kuicjakaza Israel, maana imeshapigwa, sasa kuna haja gani kuendeleza tambo?

Wajibu tuone mnachosema, taarabu za nini muda huu?

Kwanini wasimtie makwenzi Israel ili aache fyoko fyoko zake?.
 
Ina maana huoni kinachoendelea haifa na tel aviv au ndio mambo ya taifa teule
 
Ina maana huoni kinachoendelea haifa na tel aviv au ndio mambo ya taifa teule
Hiyo ni vita, lazima kila mmoja apigwe ulitaka wote tu report taarifa moja?

Kuna repoters tel aviv na kuna reporters Teheran.

Wote wana repirt vita hiyo hiyo ya Israel na Iran, mimi nikiwa Teheran sioni ya Haifa na Tel Aviv, sijui kama umeelewa.

Inshaalah.
 
Kuna mazwazwa kweli kweli

Kuelekea Jumatatu 23 June 2025 ikiwa Ayatollah atakuwa mkaidi, kusema kuwa Operation Midnight Hammer ya usiku wa tarehe 22 June 2025 iliyopeleka ujumbe wa kwanza si lolote Iran itaendelea na mipango yake miovu...au utawala wa Ayatollah utagonjea mezani kwa mazungumzo?

More info:
Operation Midnight Hammer ya usiku wa tarehe 22 June 2025


View: https://m.youtube.com/watch?v=QT6T6AC02-Q
Watch live as U.S. Secretary of Defense Pete Hegseth and Air Force Gen. Dan Caine, the chairman of the Joint Chiefs of Staff, hold a press conference at the Pentagon following U.S. strikes on Iranian nuclear sites.

Chairman of Joint Chiefs of Staff lays out timeline for "Operation Midnight Hammer"LIVE:

US Defense Secretary Pete Hegseth and Air Force Chief Hold Briefing at The Pentagon – U.S. Secretary of Defense Pete Hegseth and Chairman of the Joint Chiefs of Staff Air Force General Dan Caine hold a briefing at the Pentagon.

The US struck several key Iranian nuclear facilities early Sunday, including Fordow, Natanz and Isfahan. During an address at the White House, US President Donald Trump claimed the sites were “totally obliterated” and warned the US could go after additional targets if Iran does not make peace.

About the attack: American B-2 bombers were used in the strikes, and sources said the US also utilized a 30,000-pound “bunker buster” bomb. It’s the first known instance of the bomb being used operationally.
Source : CBS News
 
22 June 2025
Instanbul

Istanbul PressConference
Iranian Foreign Minister Abbas Araqchi slams U.S. strikes on Iran’s nuclear sites

View: https://m.youtube.com/watch?v=DvV4hhl3o28
As “war-mongering aggression” and a violation of international law. Accusing the U.S. and Israel of sabotaging diplomacy, he demands a UN emergency meeting to hold Washington accountable
 
Kwani hivi vita wanapigana kwa sababu ya Yehova?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…