June 30, 1993 alifariki Gavana Rutihinda na kuzikwa Buguruni Malapa. June 15, 2024 anafariki Balozi Ruhinda na kuzikwa Kinondoni

June 30, 1993 alifariki Gavana Rutihinda na kuzikwa Buguruni Malapa. June 15, 2024 anafariki Balozi Ruhinda na kuzikwa Kinondoni

Maelezo meengi..ila umepuyanga
Wewe kajenge mjengo hata wa bilioni kwenu huko baadaye wanao wataanza kukuona hamnazo Mana hata watashindwa kupangisha.
Nyumba ni liability so inabidi uwe financially literate ,jiulize why Elon musk hajanunua ama kujenga nyumba. Labda nimekugusa pia samahani sijaendana na wewe ulivyotegemea niongee.
 
Wewe kajenge mjengo hata wa bilioni kwenu huko baadaye wanao wataanza kukuona hamnazo Mana hata watashindwa kupangisha.
Nyumba ni liability so inabidi uwe financially literate ,jiulize why Elon musk hajanunua ama kujenga nyumba. Labda nimekugusa pia samahani sijaendana na wewe ulivyotegemea niongee.
Mkuu naheshimu mawazo na mtazamo wako
 
Unajenga kisa ukifa uonekane na wewe ama usidharaulike. Fanya Mambo yako Ila sio kuangalia ulimwengu. Wewe kwenu unakuja mjini una miaka 15 unakuja kurudipo una miaka 80+ yaani unasubiria Kufa ama ukiwa marehemu Sasa Hilo limjengo utakalowekeza hapo kwenu litatoa faida gani. Yaani ukazike bilioni of money with no return hata nyumba huwezi pangisha ikakupa return. Msifanye Mambo kwa mkumbo ama just to satisfy your environment. Elewa hata Elon musk akapanga hana nyumba na uelewe nyumba ni liability. Watt wako wenyewe ama wewe mwenyewe siku unazoishi ulipozaliwa zinahesabika.
Ukiangalia kusema kwenu wabantu tulioko east Africa asili yetu ni wapi. Kuna wengine tulitoka misri baada ya mwarabu kuivamia so inabidi turudi tukajenge misri. Yaani unaishi mjini zaidi ya miaka 60 kule unaenda once a year or even in ten years Halafu eti unapaita kwenu sure kweli una akili hata hupatumikii na watu wa kule hawakufaidi.
Ni sawa uende ulaya kijana urudi afrika mzee, utamu na vinono vyote umemalizia ulaya na ukiwa umeacha nyumba kweli utapangisha kwa pesa kubwa kuliko bongo.
Kule Kuna nyumba just two bedrooms like in New York unalipwa $8000- $15000 monthly Sasa hizo hapa bara la Giza utazipata wapi. Acheni ushabiki wa kimaandazi. Nyumba mnajenga wanabakia mende,buibui,wachunga ngombe, panya wanaishipo na huku umetumiwa above $20k to $100k ili iweje ukubalike kuwa unapenda kwenu Sasa si uiishipo huku mjini unafuata nini. Hata wanyama wanahama kufuata mahitaji yao. Pindi wakiyapata ndipo kazi yao. Kwani ukizikwa mjini huwezi fufuka ukaenda mbinguni.
Tukirudi miaka 3000 nyuma nadhani unapoishi ama unapopaita kwenu sio kwenu.
Safi sana. Wegi wameandika ujinga mtupu!
 
Sidhani kama kuna haja ya mtu kujenga kijijini kisa ataenda kuzikwa. Kuna familia ninaifahamu, wote wako vizuri kiuchumi kuanzia baba yao. Ina maana hawa wote kila mtu akamiliki nyumba kijijini kwao? Atakaa nani?
Kisa tu kuimpress jamii kwenye msiba wako?
Kwani marehemu anajisikia aibu?

Maisha ya mjini wengi wetu tunapenda kujifariji tuu, lakini yana life span. Mda ukfika inabidi usepe tuu otherwise unaanza kuwa karaha kwa wengine. Wengi wa rika lako walishasambaratika. Ukikutana na vijana ni kulalamika hutembelewi. Yes, kijijini pia kuna changamoto zake. Lakini ukipaanda, maisha yanasonga fresh tuu.

mdukuzi personally nimeshangaa mtu mzito kama Balozi Ruhinda kuzikwa Kinondoni.

By the way kama ukiwa na uwezo, kutojenga kijijini kwenu ni ubinafsi. Maana, most likely wategemezi hawatarudi tena kama ukishatangulia mbele ya haki. Lakini pia ni kuchangia uchumi wa kijijini kwenu. Hata Yule Mlinzi na gardener wanapata kitu wanatumia familia zao. Ukivuta umeme ..hata majirani wanachukua kwako..so is water services….

Kama una uwezo nakushauri kajenge kijijini pia.
Kwani hao unadhani hawapendi kuishi mjini!
 
Safi sana. Wegi wameandika ujinga mtupu!
Mkuu wacha kujifariji. Kama una vyombo kajenge kijijini kwenu. Kama kipato unaunga unga tulia.

Nani akikwambia kwamba aliyejenga kijijini hana uwezo wa kujenga mjini au hawajengi mjini?
 
Kuna kipindi tulipata msiba tukaenda kijijini watu wakaanza kunon'gona huyu Fulani tunae mjua ndio kwao hapa.. baada ya hapo mzee ndio aka amua kujenga kwao.

Kuna factor nyingi nyingi sanaa za watu kuto penda kujenga kwenye land of their original..
Uko sahihi ila factor kubwa ni imani za kishirikina hapa zamani ukijenga nyumba nzuri humalizi mwaka
 
Back
Top Bottom