June 30, 1993 alifariki Gavana Rutihinda na kuzikwa Buguruni Malapa. June 15, 2024 anafariki Balozi Ruhinda na kuzikwa Kinondoni

Maelezo meengi..ila umepuyanga
Wewe kajenge mjengo hata wa bilioni kwenu huko baadaye wanao wataanza kukuona hamnazo Mana hata watashindwa kupangisha.
Nyumba ni liability so inabidi uwe financially literate ,jiulize why Elon musk hajanunua ama kujenga nyumba. Labda nimekugusa pia samahani sijaendana na wewe ulivyotegemea niongee.
 
Mkuu naheshimu mawazo na mtazamo wako
 
Safi sana. Wegi wameandika ujinga mtupu!
 

Kwani hao unadhani hawapendi kuishi mjini!
 
Safi sana. Wegi wameandika ujinga mtupu!
Mkuu wacha kujifariji. Kama una vyombo kajenge kijijini kwenu. Kama kipato unaunga unga tulia.

Nani akikwambia kwamba aliyejenga kijijini hana uwezo wa kujenga mjini au hawajengi mjini?
 
Kuna kipindi tulipata msiba tukaenda kijijini watu wakaanza kunon'gona huyu Fulani tunae mjua ndio kwao hapa.. baada ya hapo mzee ndio aka amua kujenga kwao.

Kuna factor nyingi nyingi sanaa za watu kuto penda kujenga kwenye land of their original..
Uko sahihi ila factor kubwa ni imani za kishirikina hapa zamani ukijenga nyumba nzuri humalizi mwaka
 
Uko sahihi ila factor kubwa ni imani za kishirikina hapa zamani ukijenga nyumba nzuri humalizi mwaka
Kama uko kigoma mtu kufaulu TU kwenda A_level unarogwa na kuuwawa je ukienda na kujenga ka gholofa au kununua gari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…