Juni 3: Siku ya Baiskeli Duniani. Ni Mkoa gani ulikushangaza kwa kuwa na Baiskeli nyingi?

Binafsi Shinyanga na Tabora nimeshindwa upi unaongoza maana huwa makaa muda mfupi.
 
Geita baiskeli zinaendeshwa usiku na hazina taa, sijui wanaonaje
 
Tanga ina baiskeli nyingi kuliko nywele zako na uzijumlishe na nywele za sehemu za siri na kwapani basi bado hazifikii idadi ya basikweli
 
Geita baiskeli zinaendeshwa usiku na hazina taa, sijui wanaonaje
Baiskel ukiipitisha njia moja mara kwa mara mchana. Hata ukiiendesha usiku inakuwa imeshaifahamu njia. Yaani inaenda tu bila taa. Huku kwetu kulikuwa na lori la mchanga isuzu lilikuwa linapiga ruti bila taa isiku. Jamaa nilikuwa namshangaa sana
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…