makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
- Thread starter
-
- #21
Brazil ilikiwa imesheheni vipaji.. Unamkumbuka giovan elber wa bayern munich!? National team aliishia kucheza game kama 15 tu.Mbrazil alikuwa nyoko sana lakini hakuwemo kwenye 1st eleven ya Brasil
Si kweli mkuu, prove me wrong.Zaidi ya free kick he had nothing else to offer.
Huwezi mtegemea mtu ambaye yupo so limited, alikua master wa eneo moja huku akipwaya sana Kwenye position yake Kama mid, ndo maana hujawahi sikia miamba ya Ulaya kama Madrid, Barca, Milan ya miaka ile ikimtaka, na hata Brazil national team hakua na number.
Alikua master of set pieces tu.
Hawezi kumsahau mkuu.Iker cassilas hawezi msahau Juninho Pernambucano
Kwani alan shearer kacheza timu ipi kati ya hizo!?Zaidi ya free kick he had nothing else to offer.
Huwezi mtegemea mtu ambaye yupo so limited, alikua master wa eneo moja huku akipwaya sana Kwenye position yake Kama mid, ndo maana hujawahi sikia miamba ya Ulaya kama Madrid, Barca, Milan ya miaka ile ikimtaka, na hata Brazil national team hakua na number.
Alikua master of set pieces tu.
Sidhani Kama anamfahamu huyo jamaa vizuri.halafu muulize Okocha alichezea timu ipi Kati ya hizo.Hawezi kumsahau mkuu.
Ile winga nayo iliishia kukalia tu benchBrazil ilikiwa imesheheni vipaji.. Unamkumbuka giovan elber wa bayern munich!? National team aliishia kucheza game kama 15 tu.
Alikuwa striker...Ile winga nayo iliishia kukalia tu bench
Katika ligue 1 top score alikuwa mara moja tu 07/08lyon inatwaa ubingwa mara 7 mfululizo pale mbele kuna mtu wa kuitwa benzema kajibebea sana ufungaji bora kwenye ligi yao ila cha ajabu sasa toka aende madrid hajawah kushinda tuzo ya pichichi
Piere van hoojdoonk ktk game moja hiv siikumbuki alipiga faulo ya kwanza ikagonga besela... Ikatokea mistake hiyo faulo ikarudiwa akapiga tena ikagonga pale pale ilipogonga besela faulo ya kwanzaWatoto wa kipindi hiki hawawezi kumjua huyo. Daaah juninho alafu ukienda eredivisie unakutana na Van hoydonk alikua yupo feyenord.
Alikuwa ameanza kuzeeka lakini pia position take kulikuwa na wazuri sana kama captain DungaAlikuwepo kwenye timu ya Taifa lakini hakuwepo KIKOSI cha Kwanza
suker kakipiga madrid,arsenalSio lazima kila mchezaji nyota acheze hizo timu! Unamkumbuka All time goal scorer wa EPL? Unajua aliwika wapi na alistaafia wapi? Unamfahamu mtu alieitwa DEVOR SUKER? Hao waliwika pasi na kuchezea hizo timu ulizotaja!
senta fowadiAlikuwa striker...
Wakati Munich ilikuwa panga pangua lazima aanzeBrazil ilikiwa imesheheni vipaji.. Unamkumbuka giovan elber wa bayern munich!? National team aliishia kucheza game kama 15 tu.
Hìyo mechi naikumbuka ilipigwa sansiroKuna game ilikuwa na ac milan nahis, alichomesha, akaenda kuchukua mpira wavuni mwenyewe, ilipopatikana freekick akafurahia na kweli alitupia mpira kambani.
Kama sub.Alikuwepo mkuu kwa kumbukumbu zangu had 2002 na 2006 alikuwepo