Juninho Pernambucano: Mpiga freekick bora kuwahi kumtizama

Juninho Pernambucano: Mpiga freekick bora kuwahi kumtizama

Zaidi ya free kick he had nothing else to offer.

Huwezi mtegemea mtu ambaye yupo so limited, alikua master wa eneo moja huku akipwaya sana Kwenye position yake Kama mid, ndo maana hujawahi sikia miamba ya Ulaya kama Madrid, Barca, Milan ya miaka ile ikimtaka, na hata Brazil national team hakua na number.

Alikua master of set pieces tu.
Si kweli mkuu, prove me wrong.
 
Kwani alan shearer kacheza timu ipi kati ya hizo!?
 
lyon inatwaa ubingwa mara 7 mfululizo pale mbele kuna mtu wa kuitwa benzema kajibebea sana ufungaji bora kwenye ligi yao ila cha ajabu sasa toka aende madrid hajawah kushinda tuzo ya pichichi
 
lyon inatwaa ubingwa mara 7 mfululizo pale mbele kuna mtu wa kuitwa benzema kajibebea sana ufungaji bora kwenye ligi yao ila cha ajabu sasa toka aende madrid hajawah kushinda tuzo ya pichichi
Katika ligue 1 top score alikuwa mara moja tu 07/08

Sishangai sana ndio kawaida yakebsi mfungaji yule wa kufunga asubuh mchana na jioni lyon katika game 112 alifunga goli 43
Madrid mpaka sasa katika game 256 kama sikosei ana goli 124
 
Watoto wa kipindi hiki hawawezi kumjua huyo. Daaah juninho alafu ukienda eredivisie unakutana na Van hoydonk alikua yupo feyenord.
Piere van hoojdoonk ktk game moja hiv siikumbuki alipiga faulo ya kwanza ikagonga besela... Ikatokea mistake hiyo faulo ikarudiwa akapiga tena ikagonga pale pale ilipogonga besela faulo ya kwanza
 
Sio lazima kila mchezaji nyota acheze hizo timu! Unamkumbuka All time goal scorer wa EPL? Unajua aliwika wapi na alistaafia wapi? Unamfahamu mtu alieitwa DEVOR SUKER? Hao waliwika pasi na kuchezea hizo timu ulizotaja!
suker kakipiga madrid,arsenal
 
Maelezo yanajitosheleza.
1514753040401.png
 
Back
Top Bottom