mtoto wa mjin
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 589
- 566
Benzema mtoto mdogo tuu kwenye Ile Lyon...mbele kulikuwa na sonny Anderson,Sydney govou, wiltord,malouda..baadae akaongezeka elber..kiungo ndio balaa..pernambucano,vikash dhorasoo,mamadou diara,essien,edmilison..mabeki cacapa,cris,liverile,pasquale..huku golin yupo coupet..manager Claude le puen..lyon inatwaa ubingwa mara 7 mfululizo pale mbele kuna mtu wa kuitwa benzema kajibebea sana ufungaji bora kwenye ligi yao ila cha ajabu sasa toka aende madrid hajawah kushinda tuzo ya pichichi
Maradona wa Romania.Gheogre Hagi, Romania moja hiyo
Namkubali sana Hagi
Hata hivyo angecheza namba ya nani!?Timu ya taifa ya brazil kwa miaka hiyo zilicheza kitimu sana badala ya kutegemea uwezo wa mchezaji mmojammoja.
Mchezaji alichaguliwa kwa jinsi anavyosaidia uchezaji wa timu. Ndo maana watu kama elber hawakuitwa japo walikuwa wanawika sana ulaya.
Mimi ni mpenz wa riquelme ila kwa free kicks juninho ni hatariKatika freekick na corner bado sijaona wa kumzidi JUAN ROMAN REQUELME huyu ni mwa Argentina alikuwa ni balaa enzi zake alikuwa anajua anachokifanya,, tunamuona Messi nae kafuata nyayo zake.
Lyon hii ndio ilikuwa Lyon hasaBenzema mtoto mdogo tuu kwenye Ile Lyon...mbele kulikuwa na sonny Anderson,Sydney govou, wiltord,malouda..baadae akaongezeka elber..kiungo ndio balaa..pernambucano,vikash dhorasoo,mamadou diara,essien,edmilison..mabeki cacapa,cris,liverile,pasquale..huku golin yupo coupet..manager Claude le puen..
Nilikuwa nalikubali sana hili jamaaAbubakary titi Camara from Guinea nafikiri alikuwa mwiba sana pale mbele Liverpool
Hakuwepo kwenye first elevenAlikuwepo mkuu kwa kumbukumbu zangu had 2002 na 2006 alikuwepo
Nilikuwa nalikubali sana hili jamaa
Jamaa alikuwa na maajabu sana katka mipira ya kujitengea.Kila ninapokaa kijiweni wakazungumzia habari za ftee kicks, huwa siachi kumtaja Juninho kama The Goat kwenye hii sector.
Mnaweka ukuta, anapiga faulo inapita juu ya vichwa vyenu halafu inaingilia chini.
Waafrika wengi tunakosa msingi wa soka.Tatizo langu kwa Titi Kamara ni vile alikuwa anaweza kupoteza possession kwa chenga za kijinga, alikuwa anapenda sana zile za kutumia visigino.
Sio lazima kila mchezaji nyota acheze hizo timu! Unamkumbuka All time goal scorer wa EPL? Unajua aliwika wapi na alistaafia wapi? Unamfahamu mtu alieitwa DEVOR SUKER? Hao waliwika pasi na kuchezea hizo timu ulizotaja!
Kwani Gilberto Silva wakati anacheza mechi zote za WC kuna kipi cha ziada alichokuwa anafanya zaidi ya kukaba tu! Hajui chenga. Hajui kupanda wala hajui kutoa pasi za mwisho!Kucheza na kutakwa ni mambo mawili tofauti, hata Maradona hakucheza hizo timu. Huyu hakucheza ila pia hamna timu nyingine ilikua inamtaka. Niambie ni legend gani mwingine hakuwa na number timu ya taifa au utasema tena sio lazima kila great player awe na number timu ya taifa.. Juninho hajawahi kuwa first 11 ya Brazil sababu alikua master wa set pieces tu na si vinginevyo
Kwani Gilberto Silva wakati anacheza mechi zote za WC kuna kipi cha ziada alichokuwa anafanya zaidi ya kukaba tu! Hajui chenga. Hajui kupanda wala hajui kutoa pasi za mwisho!
Katika soka bahati ina nafasi kubwa sana. Kuwa na kiwango bora ni suala moja na kuonekana ni suala lingine! Beckham na Henry wamemaliza soka pasi na kuwa wachezaji bora ulaya wala dunia! Kuna waliowika na wakastaafu pasi na kubeba uefa wala WC!
Chukulia mfano! Jiulize Emmanuel Adabayor aliwazaje kusajiliwa na Madrid katika zama ambazo dunia ina forwards wengi tu! Adebayor ameenda Madrid akiwa hovyo tu hapo hata alipokuwa na "ubora" wake bado haukuwa ubora wa kwenda Madrid;
Requelme alikuwa mzuri lakini hata Beckham hamfikii sembuse Juninho ?Katika freekick na corner bado sijaona wa kumzidi JUAN ROMAN REQUELME huyu ni mwa Argentina alikuwa ni balaa enzi zake alikuwa anajua anachokifanya,, tunamuona Messi nae kafuata nyayo zake.
Benzema alianza kupata nafasi baada ya hao jamaa kuzeeka na wengine kuondokaBenzema mtoto mdogo tuu kwenye Ile Lyon...mbele kulikuwa na sonny Anderson,Sydney govou, wiltord,malouda..baadae akaongezeka elber..kiungo ndio balaa..pernambucano,vikash dhorasoo,mamadou diara,essien,edmilison..mabeki cacapa,cris,liverile,pasquale..huku golin yupo coupet..manager Claude le puen..
Hata zlatan amefanya mambo mengi sana golini lakini hajawahi kutajwa kwenye awards zozote tofauti na ufungaji bora tuKwani Gilberto Silva wakati anacheza mechi zote za WC kuna kipi cha ziada alichokuwa anafanya zaidi ya kukaba tu! Hajui chenga. Hajui kupanda wala hajui kutoa pasi za mwisho!
Katika soka bahati ina nafasi kubwa sana. Kuwa na kiwango bora ni suala moja na kuonekana ni suala lingine! Beckham na Henry wamemaliza soka pasi na kuwa wachezaji bora ulaya wala dunia! Kuna waliowika na wakastaafu pasi na kubeba uefa wala WC!
Chukulia mfano! Jiulize Emmanuel Adabayor aliwazaje kusajiliwa na Madrid katika zama ambazo dunia ina forwards wengi tu! Adebayor ameenda Madrid akiwa hovyo tu hapo hata alipokuwa na "ubora" wake bado haukuwa ubora wa kwenda Madrid;
Attach video nione huo uongo ulivyoPiere van hoojdoonk ktk game moja hiv siikumbuki alipiga faulo ya kwanza ikagonga besela... Ikatokea mistake hiyo faulo ikarudiwa akapiga tena ikagonga pale pale ilipogonga besela faulo ya kwanza
Naona umeanza kujitetea mapemaKizazi cha Magufur hawawez kukuelewa hapa