Juninho Pernambucano: Mpiga freekick bora kuwahi kumtizama

lyon inatwaa ubingwa mara 7 mfululizo pale mbele kuna mtu wa kuitwa benzema kajibebea sana ufungaji bora kwenye ligi yao ila cha ajabu sasa toka aende madrid hajawah kushinda tuzo ya pichichi
Benzema mtoto mdogo tuu kwenye Ile Lyon...mbele kulikuwa na sonny Anderson,Sydney govou, wiltord,malouda..baadae akaongezeka elber..kiungo ndio balaa..pernambucano,vikash dhorasoo,mamadou diara,essien,edmilison..mabeki cacapa,cris,liverile,pasquale..huku golin yupo coupet..manager Claude le puen..
 
Timu ya taifa ya brazil kwa miaka hiyo zilicheza kitimu sana badala ya kutegemea uwezo wa mchezaji mmojammoja.

Mchezaji alichaguliwa kwa jinsi anavyosaidia uchezaji wa timu. Ndo maana watu kama elber hawakuitwa japo walikuwa wanawika sana ulaya.
Hata hivyo angecheza namba ya nani!?
 
Benzema mtoto mdogo tuu kwenye Ile Lyon...mbele kulikuwa na sonny Anderson,Sydney govou, wiltord,malouda..baadae akaongezeka elber..kiungo ndio balaa..pernambucano,vikash dhorasoo,mamadou diara,essien,edmilison..mabeki cacapa,cris,liverile,pasquale..huku golin yupo coupet..manager Claude le puen..
Lyon hii ndio ilikuwa Lyon hasa
 
Juninho ata alipokua england epl pale middoz, ilikua hatari kila akienda kupiga faulo, asee maishani mwangu sijawaona kuona mpiga set pieces kama huyu.
 
Sio lazima kila mchezaji nyota acheze hizo timu! Unamkumbuka All time goal scorer wa EPL? Unajua aliwika wapi na alistaafia wapi? Unamfahamu mtu alieitwa DEVOR SUKER? Hao waliwika pasi na kuchezea hizo timu ulizotaja!

Kucheza na kutakwa ni mambo mawili tofauti, hata Maradona hakucheza hizo timu. Huyu hakucheza ila pia hamna timu nyingine ilikua inamtaka. Niambie ni legend gani mwingine hakuwa na number timu ya taifa au utasema tena sio lazima kila great player awe na number timu ya taifa.. Juninho hajawahi kuwa first 11 ya Brazil sababu alikua master wa set pieces tu na si vinginevyo
 
Kwani Gilberto Silva wakati anacheza mechi zote za WC kuna kipi cha ziada alichokuwa anafanya zaidi ya kukaba tu! Hajui chenga. Hajui kupanda wala hajui kutoa pasi za mwisho!

Katika soka bahati ina nafasi kubwa sana. Kuwa na kiwango bora ni suala moja na kuonekana ni suala lingine! Beckham na Henry wamemaliza soka pasi na kuwa wachezaji bora ulaya wala dunia! Kuna waliowika na wakastaafu pasi na kubeba uefa wala WC!

Chukulia mfano! Jiulize Emmanuel Adabayor aliwazaje kusajiliwa na Madrid katika zama ambazo dunia ina forwards wengi tu! Adebayor ameenda Madrid akiwa hovyo tu hapo hata alipokuwa na "ubora" wake bado haukuwa ubora wa kwenda Madrid;
 
Hakuna kitu cha muhimu kwenye soka kama kukaba, hii ndo role number one ya mchezaji mpira bila kujali unacheza position gani.

Gilberto Silver "invisible wall" aliicheza vyema nafasi hii kama defending mid ndo maana alikua first 11. Mpira is about kukaba na mkabaji ataitwa popote pale tofauti na mpigaji faulo tu, huwezi cheza kwa kutegemea mipira iliyokufa tu kila match siku zote.
 
Benzema mtoto mdogo tuu kwenye Ile Lyon...mbele kulikuwa na sonny Anderson,Sydney govou, wiltord,malouda..baadae akaongezeka elber..kiungo ndio balaa..pernambucano,vikash dhorasoo,mamadou diara,essien,edmilison..mabeki cacapa,cris,liverile,pasquale..huku golin yupo coupet..manager Claude le puen..
Benzema alianza kupata nafasi baada ya hao jamaa kuzeeka na wengine kuondoka
 
Kwani Gilberto Silva wakati anacheza mechi zote za WC kuna kipi cha ziada alichokuwa anafanya zaidi ya kukaba tu! Hajui chenga. Hajui kupanda wala hajui kutoa pasi za mwisho!

Katika soka bahati ina nafasi kubwa sana. Kuwa na kiwango bora ni suala moja na kuonekana ni suala lingine! Beckham na Henry wamemaliza soka pasi na kuwa wachezaji bora ulaya wala dunia! Kuna waliowika na wakastaafu pasi na kubeba uefa wala WC!

Chukulia mfano! Jiulize Emmanuel Adabayor aliwazaje kusajiliwa na Madrid katika zama ambazo dunia ina forwards wengi tu! Adebayor ameenda Madrid akiwa hovyo tu hapo hata alipokuwa na "ubora" wake bado haukuwa ubora wa kwenda Madrid;
Hata zlatan amefanya mambo mengi sana golini lakini hajawahi kutajwa kwenye awards zozote tofauti na ufungaji bora tu
 
Piere van hoojdoonk ktk game moja hiv siikumbuki alipiga faulo ya kwanza ikagonga besela... Ikatokea mistake hiyo faulo ikarudiwa akapiga tena ikagonga pale pale ilipogonga besela faulo ya kwanza
Attach video nione huo uongo ulivyo
 
Back
Top Bottom