Juninho Pernambucano: Mpiga freekick bora kuwahi kumtizama

Juninho Pernambucano: Mpiga freekick bora kuwahi kumtizama

Juninho ata alipokua england epl pale middoz, ilikua hatari kila akienda kupiga faulo, asee maishani mwangu sijawaona kuona mpiga set pieces kama huyu.
mkuu umechanganya kidogo
juninho anayeongelewa hapa ni wa lyon sio wa middlesbrough
 
Sio lazima kila mchezaji nyota acheze hizo timu! Unamkumbuka All time goal scorer wa EPL? Unajua aliwika wapi na alistaafia wapi? Unamfahamu mtu alieitwa DEVOR SUKER? Hao waliwika pasi na kuchezea hizo timu ulizotaja!
DAVOR SUKER alicheza Arsenal
 
Kucheza na kutakwa ni mambo mawili tofauti, hata Maradona hakucheza hizo timu. Huyu hakucheza ila pia hamna timu nyingine ilikua inamtaka. Niambie ni legend gani mwingine hakuwa na number timu ya taifa au utasema tena sio lazima kila great player awe na number timu ya taifa.. Juninho hajawahi kuwa first 11 ya Brazil sababu alikua master wa set pieces tu na si vinginevyo
Juninho alikuwa ni mpiga faulo bora lakin haimaanishi hakuwa mchezaji mzuri, alikuwa mchezaji mzuri sana na ndio maana aliitwa national team mara kwa mara na katika mashindano makubwa, tatizo angecheza kwa nani, laiti kama angekuwa taifa kama uingereza basi 1st eleven ilikuwa inamuhusu kwa %98
 
Juninho ata alipokua england epl pale middoz, ilikua hatari kila akienda kupiga faulo, asee maishani mwangu sijawaona kuona mpiga set pieces kama huyu.
Juninho wa middoz si juninho huyu..
Pernambucano hakuwahi kukipiga uingereza.
 
Huyu jamaa kapata heshima kubwa pale Vasco da Gama,pale anafahamika kama Reizinho de Sao Januario Giant of the Hill or Reizinho da Colina The little King of the Hill. Pia jamaa ameimbwa kwenye chorus ya wimbo wa fans wa Vasco hii ni baada ya kuifungia Vasco goal la free kick dhidi ya River Plate ya Argentina huku River akiwa nyumbani kwake ikapelekea Vasco kutinga final ya Copa Libertadores.
 
hakuna sehemu ameipta bila kuonesha umwamba wake katika shughuli za mipira iliyokufa
 
IMG_0490.JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zaidi ya free kick he had nothing else to offer.

Huwezi mtegemea mtu ambaye yupo so limited, alikua master wa eneo moja huku akipwaya sana Kwenye position yake Kama mid, ndo maana hujawahi sikia miamba ya Ulaya kama Madrid, Barca, Milan ya miaka ile ikimtaka, na hata Brazil national team hakua na number.

Alikua master of set pieces tu.
Utasemaje master wa eneo moja,wakati timu ikiwa imezidiwa au kuwa nyuma kwa goal/goals wachezaji wenzake wanajitahidi kutafuta faulo popote karibu na lango la wapinzani na ikitokea anawaweka?hiyo ndio Plan B.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika maisha yangu ya kutazama soka, sijawahi kuona mtu anapiga freekicks kama huyu mwamba, najua wapo kina beckham, ronadinho, messi, zidane, fundi pirlo, cr7, shunshuke nakamura na wengine wengi, ila juninho hana mpinzani, jamaa alikuwa hatar, zaidi ya hatari, kwanza hakuwa na eneo maaluum tofauti na hawa wengi ambao kuna sehemu na sehemu, jamaa ilikuwa popote anakuweka..

Inakadiriwa alifunga magoli ya freekicks yapatayo 80 kasoro kidogo katika official matches.. jamaa alikipa sana lyon ile iliyobeba ubingwa mara 7 mfululizo, katika goli 100 alizofunga pale lyon basi 44 ni za faulo..
Na upigaji wake ndio kuna baadhi ya wachezaji wamechukua kwake..

Heshima kwako juninho pernambucano.
100%

Huyo mwamba [emoji91][emoji91]

Ukuta hata wakae watu 30 atapitisha mpira[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Benzema mtoto mdogo tuu kwenye Ile Lyon...mbele kulikuwa na sonny Anderson,Sydney govou, wiltord,malouda..baadae akaongezeka elber..kiungo ndio balaa..pernambucano,vikash dhorasoo,mamadou diara,essien,edmilison..mabeki cacapa,cris,liverile,pasquale..huku golin yupo coupet..manager Claude le puen..
Umenikumbusha mbali sana sio vijana was juzi hawa wanapiga kelele hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakuwa na makengeza wewe.

Nyuma ya mafanikio ya Olympic Lyon ya 7 years consecutive titles alikuwa Juninho Penambucano.

Lyon hawa walimtoa Real Madrid kwa miaka mitatu mfululizo kwenye UEFA champions League quarterfinals.

Juninho ndiye alikuwa fundi wa pale central midfield akitawanya mipira kama hana akili timamu.

Unazungumzia timu kubwa kutomhitaji ? Mbona Allan Shearer hakuwahi kuhitajiwa na hizo timu za Real Madrid unazozitaja hapa.?

Back
Top Bottom