Hiyo ni kati ya kilo 5 mpaka 7.... Bei ya leo ni 141,836/= TSH per GRAM.
1Kg=1000Gm piga hesabu wangepata kiasi gani cha fedha kama wangefanikiwa
ADHABU YAO.
.hiyo mali inataifishwa
.Kama walikua na gari inataifishwa
.Uhujumu uchumi inawahusu
.Account zao zitashikiliwa kwa muda mrefu so kurudi kwenye game asahau tena ingekua kipindi cha mzee ndo kwisha habari yake.
Lipa tozo/kodi ya serikali utafanya ujanja ila ukikamatWa umekwisha. Trust me kwenye madini ni balaa macho yamejaaa kila kona. wapo wanaofanikiwa pia ila mwisho hukamatwa tu.