Junior katika ubora wake

Masingle maza uelewa sifuri kabisa. Ndiyo hao black americans wanakuja na tabia kama hizo huku na kuanza kusema waafrika tunawachukia! Nimekereka sana.
 
Kusoma vitabu mzee
How to win friends and influence people
Nadhani kinahusika hapo
Dogo kachukuliwa kirahisi tu na kesi imeisha
Wenzetu wanasoma sana vitabu na unaona impact yake kwenye maisha halisi
Dah sometimes naona kama kwa watoto kutumia busara ni kumlemaza mtoto.

Kama hiyo kesi inshu ilikuwa mtoto aache huo ujinga akiwa hapo hapo amekaa.

Ishu haikuwa mtoto aondoke bali ishu ilikuwa aache huo ujinga wake,na haujui kama huko alikoenda aliendelea na fujo ama laa.

Kwa sababu lengo ilikuwa aache fujo na wala sio lengo kwamba asikere watu.

NAdhani kwa watoto tunahitaji ukali na sio kuwalea kimayaimayai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…