Kwa man u hapana kwakwel labda niende palace nishuke naoNa sasa hivi hatupokei mashabiki wapya bila kuwafanyia usaili,wasije wakawa makinikia.
Ko
Komaa mkuu, mi hadi nimeamua kunenepa tu maana Wenger amezingua hadi nimezoea
Sema humu matusi hayaruhusiwi... ***** kroenke
Nimecheka sana. Na inaskitisha!Sema humu matusi hayaruhusiwi... ***** kroenke
Leo mnasemaje haters wa JK the Normal one but wonderful?Wote watakuwa wanaona aibu kwasasa