Jurgen Klopp afiwa na mama yake mzazi chanzo ni corona

Jurgen Klopp afiwa na mama yake mzazi chanzo ni corona

Kaka madenge

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2021
Posts
312
Reaction score
574
Kocha wa majogoo huko Merseyside .jurgen klopp amefiwa na mama yake mzazi Elizabeth na corona ndo imemuondoa duniani.

Mama huyo wa miaka 81 hatoweza kuzikwa na mwanae kwani kumewekwa makatazo baina ya nchi hizo mbili (German na England) kusafiri.

Hivyo jk hatoweza mzika mama yake.
 
Back
Top Bottom