Jurgen Klopp kutimuliwa Liverpool ?

Jurgen Klopp kutimuliwa Liverpool ?

Brendan Rodgers ni bora kuliko Klopp
Huu ni ushabiki wa makinikia!! Klopp yuko vizuri bado mabeki wanamwangusha tu! Jana Liverpool wamepiga mpira mkubwa sana! Mimi kocha wangu ninayemkubali mbali na Klopp ni Tony Pulis Liverpool wakimwondoa Klopp basi wampe timu huyu mzee!!
 
Hana maisha marefu na mechi 2 zijazo ni muhimu kushinda vinginevyo kibarua kitaota magugu.
Ronald Koeman: Everton sack manager after Arsenal defeat

Sasa ni dhahiri kwa mwenendo wa timu ya Liverpool , hakuna namna nyingine ya kuiokoa zaidi ya kumtimua kocha wake .

Mpaka dk 64 ilishatandikwa mabao 4-1 na timu ya kawaida sana ya Totenham Hotspurs , hakuna dalili ya kukomboa mabao haya , na hii ni ishara mbaya mno kwa Liver , Kwa ilipofikia Klopp atupiwe virago vyake timu ianze upya.

Klopp ni bingwa wa kuongea na kubwabwaja huku akisahau kwamba soka si sawa na Ngonjera .
 
Huu ni ushabiki wa makinikia!! Klopp yuko vizuri bado mabeki wanamwangusha tu! Jana Liverpool wamepiga mpira mkubwa sana! Mimi kocha wangu ninayemkubali mbali na Klopp ni Tony Pulis Liverpool wakimwondoa Klopp basi wampe timu huyu mzee!!

Ulichokiongea Hapo Ni Sawa Na Kusema "Mdogo Wangu Kwa Kusoma Yupo Vizuri Mitihani Tu Ndiyo iliyomuangusha"..

Sasa Kwa Mtazamo wako ni nani Mwenye Jukumu La Kuitengeza Beki Kama si Klopp?

Iwapo Msimu Wa 2 huu aliikuta Beki Mbovu na Kashindwa Kuitengeza tumueleweje?
Nani alaumiwe kwa Uzembe wa Kuwa na Mabeki wabovu kama sio yeye?
Msimu uliopita Hakuwaona Hawa Mabeki Kama Ndiyo waliomuangusha?
Kwanini na marahii awaache Wamuangushe?

Ni lazima Klopp awajibike Kwa Uzembe Wa Mabeki Wake...
 
[HASHTAG]#KloppOut[/HASHTAG]
mkuu turudi kule chumbani kwetu tuka-deal na huyu jamaa kivyetuvyetu. huku sebuleni si kuzuri kuna wanga kibao!!
 
Mpira umechezwa vizuri tu, hilo ndo game siyo unaingia uwanjani umejihakikishia ushindi! Man U mwenyewe pamoja na kuwa na kikosi hatari kapgwa 2-1 sasa tatizo liko wapi? Liverpool wakifanikiwa kupata beki za uhakika itasaidia sana, Lovren na Matip siwakubali kihivyo! Labda VvD akitua Liverpool hiyo January itasaidia! Jana Liverpool kamiliki mpira vizuri tu wala siyo uzembe wa Jurgen Klopp!
Uliona
 
Klopp ni bingwa wa kuongea na kubwabwaja huku akisahau kwamba soka si sawa na Ngonjera .

Huu Uzi ulikuwa usifufuliwe manake Muazishaji wa huu Uzi hajawahi kupatia.
Sikuzote huishia Kufeli kwenye Nyuzi zake za Ramli na Kuponda Waleta Mafanikio.

Miongoni mwa Nyuzi alizofeli na kuumbuka vibaya ni hii aliyosema kuwa Mo Dewj hawezi fanikisha chochote ndani ya Simba ↓↓

Hatimae Simba imebeba Ubingwa VPL mfululizo wakati kabla ya Dewj ilishasahau ubingwa.

Sasahivi kaibuka na Ajenda ya Dewj aondoke ili Timu akabidhiwe Kilomoni. Labda Kilomoni ni bora kwa kulipa Mishahara na posho za wachezaji kuliko Dewj.

Kwahiyo kwa Klopp kafeli kwa 101%
 
Enzi hizo

Back
Top Bottom