Jusa amvulia kofia Tundu Lissu

Jusa amvulia kofia Tundu Lissu

Kiukweli mchango wa T. Lissu ndani ya kamati ya bunge la katiba ulikuwa ni zaidi ya 60% ya wanakamati wote. uelewa wake na uwezo mkubwa aliokuwanao huyo Gwiji la sheria hapa nchini ndio uliosababisha kanunu bora kupatikana.

Sorce: ukurasa wa fb wa mwenyekiti
 
Wako nje wanafanya kazi kulitumikia taifa la Tanzania au wanafuata maslai yao binafsi na jamii yao. kama kweli wana uzalendo na nchi yao basi waonyeshe matendo yao kwa kulitetea na kulitangaza taifa letu na siyo kuficha majina yao na wengine kununua utaifa wa nchi nyingine kwa maslahi yao binafsi
Ccm hawaupendi huu ukweli! Lkn ilikua Ni jambo zuri kwa taifa kujivunia Kua Na watu Km Hawa bila kujali itikadi za kisiasa!

Mfano tuko na Mh Lipumba, Huyu mtu amefanya kz mpk nje ktk taaluma yake ya uchumi! Ni vzr sn kwa taifa kuwatumia watu Km Hawa ktk kujenga taifa sio kuwaterekeza!

Hapo kwenye Bold ulitaka kusema nini!?

Issue ya Lipumba, kuna watanzania zaidi ya 20,000 wapo nje ya nchi wanafanya kazi za kitaluuma! Wala usifikiri kuwa Prof. Lipumba ni exceptional sana..wapo watu wanafanya kazi huko nje miaka nenda rudi, tatizo kwa vile Lipumba yupo kwenye siasa na hazimsaidii!
 
Mkuu bila Shaka Labda haukunielewa vzr ktk hoja yng!

Niliposema kwa mfano, tuko Na Lipumba" kauli Hiyo nimetoa nikimaanisha Kua tuko na wataalam wengi tu! Lkn ili hoja yng ieleweke kirahisi Ni vema kutoa mfano kwa mtu anaejulikana kidogo ili mtu aweze kuelea dhumuni la hoja yng!

Na pia nafahamu tuna wataalamu wengi sn ndani na nje, Kwahiyo Lipumba sio Wa kipekee!

Na vilevile nimesema kwamba binafsi nathamini michango ya watalaamu, hapa nimekusudia kwamba tuko na wataalamu wengi Zaidi ya Huyo niliye mtolea mfano!

Asante!
 
duhhh!! una mahaba mpaka shetani anaogopa!. Tundu Lisu kafikia level ya Shivji tena!!!

Mkuu hiyo avatar yako tu!
avatar73253_6.gif
 
Asiye mlevi hawezi kuwa bora katikati ya walevi vivyo hivyo wanataaluma hawawezi kuwang'ara katikati ya wanasiasa. Angalia kwenye baraza la mawaziri ni Mwanataaluma gani anang'ara katikati yao. Prof. Mwandosya atang'ara UDSM lakini sio kwenye baraza, Prof. Mwakyusa atang'ara Muhimbili lakini sio Wizarani, Prof. Mwongo hali kadhalika. Kwa ujumla wasiong'ara kwenye taaluma hung'ara kwenye siasa. Mfano mzuri ni JK GPA 2.5 kwenye siasa 80% sawa na GPA 5
Ccm hawaupendi huu ukweli! Lkn ilikua Ni jambo zuri kwa taifa kujivunia Kua Na watu Km Hawa bila kujali itikadi za kisiasa!

Mfano tuko na Mh Lipumba, Huyu mtu amefanya kz mpk nje ktk taaluma yake ya uchumi! Ni vzr sn kwa taifa kuwatumia watu Km Hawa ktk kujenga taifa sio kuwaterekeza!

Hapo kwenye Bold ulitaka kusema nini!?

Issue ya Lipumba, kuna watanzania zaidi ya 20,000 wapo nje ya nchi wanafanya kazi za kitaluuma! Wala usifikiri kuwa Prof. Lipumba ni exceptional sana..wapo watu wanafanya kazi huko nje miaka nenda rudi, tatizo kwa vile Lipumba yupo kwenye siasa na hazimsaidii!
 
Aangalie asijemvulia kitu kingine,kofia inatosha
 
Wako nje wanafanya kazi kulitumikia taifa la Tanzania au wanafuata maslai yao binafsi na jamii yao. kama kweli wana uzalendo na nchi yao basi waonyeshe matendo yao kwa kulitetea na kulitangaza taifa letu na siyo kuficha majina yao na wengine kununua utaifa wa nchi nyingine kwa maslahi yao binafsi

Nyalandu Membe Mgimwa Gavana Balali Ami Mpungwe wana uraia wa nchi za njee unategemea nini hapo?
 
Jusa ambaye alipewa nafasi ya kipekee na Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalum la Katiba Mh. Pandu Kificho kutoa mchango wake kuunga mkono hoja ya Rasmi ya Kanuni alisema; Kwa namna ya pekee tunamshukuru mjumbe mwenzetu kwa mchango mkubwa na uelewa na utundu wake katika kusoma mambo mbalimbali yahusuyo sheria, kanuni na kuziweka kwenye matendo, kwa kweli ametoa mchango mkubwa sana wa ubunifu na utayarisha bora wa hii kanuni...

Hongera Lissu na wajumbe wenzio kwa mchango wenu kwa Taifa hili. Mungu awabariki.

Sawa kabisa, lakini naomba mimi mnipe taarifa kwani kwa siku kama tatu hivi nilikuwa porini kusiko na mwasilaino yoyote field kikazi. Niliacha wanabishana kuhusu kanuni ya 37 na 38 ya juu ya kura aidha iwe ya siri au wazi. Vipi wamekubaliana nini juu ya kanuni hizo na Tundu Lissu kasaidiaje katika hilo? Zimepita kwa maridhiano gani aisee au ndo bado hawajakubaliana kutokukubaaliana?
 
mmoja wa watanzania ambao wapo vizuri sana, so smart tatizo utawala uliopo unajaribu kumuona hafai....ni tofauti na hakina silinde wanaofanya cheap politics
 
Jusa ambaye alipewa nafasi ya kipekee na Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalum la Katiba Mh. Pandu Kificho kutoa mchango wake kuunga mkono hoja ya Rasmi ya Kanuni alisema; Kwa namna ya pekee tunamshukuru mjumbe mwenzetu kwa mchango mkubwa na uelewa na utundu wake katika kusoma mambo mbalimbali yahusuyo sheria, kanuni na kuziweka kwenye matendo, kwa kweli ametoa mchango mkubwa sana wa ubunifu na utayarisha bora wa hii kanuni...

Hongera Lissu na wajumbe wenzio kwa mchango wenu kwa Taifa hili. Mungu awabariki.

Ni ukweli usio pingika Lisu ana Uwezo mkubwa mno wa kisheria na hata hoja
 
Back
Top Bottom