Jusa amvulia kofia Tundu Lissu

Kiukweli mchango wa T. Lissu ndani ya kamati ya bunge la katiba ulikuwa ni zaidi ya 60% ya wanakamati wote. uelewa wake na uwezo mkubwa aliokuwanao huyo Gwiji la sheria hapa nchini ndio uliosababisha kanunu bora kupatikana.

Sorce: ukurasa wa fb wa mwenyekiti
 
Wako nje wanafanya kazi kulitumikia taifa la Tanzania au wanafuata maslai yao binafsi na jamii yao. kama kweli wana uzalendo na nchi yao basi waonyeshe matendo yao kwa kulitetea na kulitangaza taifa letu na siyo kuficha majina yao na wengine kununua utaifa wa nchi nyingine kwa maslahi yao binafsi
 
 
Asiye mlevi hawezi kuwa bora katikati ya walevi vivyo hivyo wanataaluma hawawezi kuwang'ara katikati ya wanasiasa. Angalia kwenye baraza la mawaziri ni Mwanataaluma gani anang'ara katikati yao. Prof. Mwandosya atang'ara UDSM lakini sio kwenye baraza, Prof. Mwakyusa atang'ara Muhimbili lakini sio Wizarani, Prof. Mwongo hali kadhalika. Kwa ujumla wasiong'ara kwenye taaluma hung'ara kwenye siasa. Mfano mzuri ni JK GPA 2.5 kwenye siasa 80% sawa na GPA 5
 
Aangalie asijemvulia kitu kingine,kofia inatosha
 
Mkuu hiyo avatar yako tu!
yeah, ni majanga tu yanayotupata binadam. kumbuka hujafa hujaumbika. MKUU WA KAYA jiepushe sana na kutembea na wake za watu yasikupate yaliyonikuta, mdomo wangu ukawa kama kasuku...
 
Last edited by a moderator:
 

Sawa kabisa, lakini naomba mimi mnipe taarifa kwani kwa siku kama tatu hivi nilikuwa porini kusiko na mwasilaino yoyote field kikazi. Niliacha wanabishana kuhusu kanuni ya 37 na 38 ya juu ya kura aidha iwe ya siri au wazi. Vipi wamekubaliana nini juu ya kanuni hizo na Tundu Lissu kasaidiaje katika hilo? Zimepita kwa maridhiano gani aisee au ndo bado hawajakubaliana kutokukubaaliana?
 
mmoja wa watanzania ambao wapo vizuri sana, so smart tatizo utawala uliopo unajaribu kumuona hafai....ni tofauti na hakina silinde wanaofanya cheap politics
 

Ni ukweli usio pingika Lisu ana Uwezo mkubwa mno wa kisheria na hata hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…