Jussa: Siyo kila kitu tukimbilie wasuluhishi wa nje

Faki zati sonofabitch!
 
..kwanini wanaogopa msuluhishi toka nje?

..naona wameungana, na wamekuja kwa kasi kubwa, kupinga suala la msuluhishi.

..ukiacha msuluhishi toka nje, mimi ningependa hata Uchaguzi mkuu usimamiwe na Commonwealth na UN.
Huu si muda wa kuzunguka; tunatakiwa kuipigania Tanganyika yetu kwa nguvu zote na kwa umoja wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…