Just a friend na matatizo yake.....

Just a friend na matatizo yake.....

Kama maabara sawa
P, V, T are constant


...hapana bana...nilijifunza mental discipline miaka ile ya unjuka boarding school...

Enzi hizo Disco za wanafunzi DJ anaunganisha blues zote za Lionel Richie kuanzia
stuck on you, hello, 3times a lady, kisha time after time ya Cyndi Lauper kabla hajamalizia na
Sexual healing ya Marvin Gaye..- kizani!

kufumba na kufumbua ukumbini taa zinawashwa halafu DJ anaweka Oye co Mova...-Santana.
Kwakuwa niliijua routine, haikuwa taabu ku switch off akili kabla ya kuadhirika na suruali zangu
za mchele mchele miaka hiyo...

Huku ukubwani it's the same...na switch off tu mawazo ya ushwetani, hata kama na share kitanda!
 
Kama ulivo sema hapo juu, kudevelop hisia kwa rafiki yako sio kosa, na in fact it doesn't change the friendship. Ni what you do with the feeling that will. Kama nitaweza kumeza feelings zangu na kuzisuppress kabisa before they escalate to love basi hakuna ubaya... And I expect the same from him.
It is a bit more complicated kama kuna watu wengine involved, mfano wahusika wana wapenzi etc.

Unawezaje kumeza hizo feeling zisionekane?
 
Kama maabara sawa
P, V, T are constant

...lol,bado nawashangaa mnaona ugumu gani jambo hili...
self discipline bana, siendekezi mfadhaiko...hasara yake kubwa
kuliko starehe ya dakika chache.
 
Kuna vitu vingine
viko worth hiyo risk

anyway, si kila mmoja huwa hivyo
kuna mmoja..!!
Itakuwa ngumu sana kuvumilia


...lol,bado nawashangaa mnaona ugumu gani jambo hili...
self discipline bana, siendekezi mfadhaiko...hasara yake kubwa
kuliko starehe ya dakika chache.
 

...lol,bado nawashangaa mnaona ugumu gani jambo hili...
self discipline bana, siendekezi mfadhaiko...hasara yake kubwa
kuliko starehe ya dakika chache.



NaLIKE kwa herifi kubwa!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Kuna vitu vingine
viko worth hiyo risk


anyway, si kila mmoja huwa hivyo
kuna mmoja..!!
Itakuwa ngumu sana kuvumilia

...sasa mkishamaliza utamtizamaje rafiki yako?
si utakuwa ume m betray trust yake? no way bana, mimi urafiki ni bora kuliko
'ubakaji'....

...tried and tested several times bila athari yoyote...the worst, ipo siku alizimika kabisa
sababu ya shots (baileys, bacardi, tequila)...nilichofanya ni 1st aid, kumkogesha na kumlaza.
Heshima na adabu mpaka leo...:A S-coffee:
 
Haiwezekani kaka especially kama nma-hang-out pamoja muda mrefu mtaishia ku-do tu! (I m talking with experience)
 
The Boss what do you mean? Just friends ni tofauti na best friends. so hapa tunaongelea which of these two?
 
Back
Top Bottom