Just a friend na matatizo yake.....


Wakishawavua wanafanya nini?

Kama mtu anavutia hata stranger atamvua tu kwahiyo mpaka hapo sioni tatizo.
 
Ina wezekana sana. Hata mimi ninao marafiki wanawake ambao wameolewa. Kwanza waume zao walikuwa wanakereka sana lakini now hata home wanakija kunitembelea. Lakini mimi nimekuwa sheikh wao kwa kuwaongoza katika maadili ya dini ya ki islaam na ndiyo maana wamenikubali. Hata kama wakiwa na dis agreements wanakuja kwangu kwa masuluhisho. Lakini hivi ndiyo tunavyo ishi sisi sijui wengine wataelewa vipi.
 
ah sana tu
how can u make lv na mwanamke/me asiyekuvutia?
hiyo ni kufanya ngono na si mapenzi
hapo sasa, rafiki yangu The Boss anasema kama inapatikana free hakuna kujali kiwango, lol!
 
Asante FP. . .
Kinachohitajika ni ukomavu wa kifikra na kihisia. . .huyo rafiki yako mheshimu sana maana ni mmoja wa wachache.
 
Wakishawavua wanafanya nini?

Kama mtu anavutia hata stranger atamvua tu kwahiyo mpaka hapo sioni tatizo.

Good luck finding a man who will not have an issue with you having male friends that you communicate and kick it with!!
 
Asante FP. . .
Kinachohitajika ni ukomavu wa kifikra na kihisia. . .huyo rafiki yako mheshimu sana maana ni mmoja wa wachache.
ukweli sijaacha kumheshimu na kumshukuru, alikuwa kama malaika katumwa kunilinda. hadi leo tukiongea anajishangaa kilichotokea
 
Good luck finding a man who will not have an issue with you having male friends that you communicate and kick it with!!

Heehhehe AHSANTE.
Vigezo na masharti vitazingatiwa.

Alafu hivii. . .would you rather your girl friend/mupenzi/wife be one of those ladies with a male friend that they have already established what kinda relationship they want to have and you are aware of or one that doesn't but still finds herself hooking up with guys you don't know?
 
Urafiki wa hivyo upo sana, na unaweza kuwa mzuri kwa miaka mingi. Japo nadhani all the control lies on the female part, akiamua kuubadili urafiki she can do that in a flash of light!
Who watched 'my best friend's wedding' ya julia roberts,lol! One of the rare cases.
 
ukweli sijaacha kumheshimu na kumshukuru, alikuwa kama malaika katumwa kunilinda. hadi leo tukiongea anajishangaa kilichotokea
Tatizo ni kwamba wengi hawaheshimu matakwa ya wenzao, mahusiano wenzao au hata yao wenyewe. Hapo ndipo tatizo linapoanzia. Maana tamaa/kuvutiwa hiyo inatokea muwe marafiki au la, kinachohitajika ni uelewa/heshima na ukomavu. Na ikiwa mtu hawezi kukataa eti kisa aliyemtaka ni "rafiki" basi jua hata wasio marafiki hatoona ugumu wowote kuwakatalia.
 

Either way is a bad proposition.

But then again people are different. If some people can marry or date porn stars I don't see why one couldn't find a partner who is okay with having friends of the opposite sex.

Different strokes for different folks!
 
Hapo kwenye red tunakuchaji faini ya kuharibu msemo
Ujue huu una hati miliki ya watu
Ngoja niwa-PM Lizzy na TF

Anyway, ukitaka kuutumia tena,
Kopi kwa ufasaha

"Sikujui, hunijui achana na mimi na ukafie mbele". Founders(Lizzy & The Finest, 2011) ,(Revision & Promotion) Kongosho, 2012.
 
Asante kwa kunirekebisha, next time nitasema hivo. Kaniudhi kwa mbaaaali.
Thanks RR kwakunifutia ile kitu, ngoja nirudi niliko kua mimi, naona sina mood ya kuchokozwa leo. lol
 
Usijali
Kila mtu ni binadamu
Na huwa inatokea samtimuzi

Asante kwa kunirekebisha, next time nitasema hivo. Kaniudhi kwa mbaaaali.
Thanks RR kwakunifutia ile kitu, ngoja nirudi niliko kua mimi, naona sina mood ya kuchokozwa leo. lol
 

Having a partner you can't/won't trust is a bad deal every day of the week. Subiri upewe sababu ndio uanze kuwana wasiwasi.
 

Konnie nidai zawadi siku ya Valentine. . you deserve a promotion!!
 
Having a partner you can't/won't trust is a bad deal every day of the week. Subiri upewe sababu ndio uanze kuwana wasiwasi.

To some of us having multiple opposite sex 'just' friends is bad enough.
 
Mimi binafsi nilikuwa nao marafiki wengi wa kike, na sikuwahi kuhisi wala kufikiria swala la Ngono, wapo ambao nilikuwa na urafiki nao tena wote tukiwa Single lakinji mimi binafsi sikuwahi kufikiria kuvuka mipaka. tulikuwa tukitembeleana na hata kutoka out. lakini baadhi yao walipopata wachumba na kuolewa, urafiki ukafa, na hiyo ilitokana na imani haba za waume wao, hata hivyo nilikubali matokeo kwa sababu sikuwa na cha kupoteza. nilipomuoa mama Ngina hali ikabadilika kidogo, mama Ngina akawa na wivu na hao marafiki zangu, nilijaribu kumuelewesha lakini haikuwa rahisi kwake kukubali kirahisi.................ilichukuwa muda kidogo kukubali kuwa na marafiki lakini aliweka mipaka, ule uhuru niliokuwa nao awali aliupoka. kwa hiyo inategemea sana na mwenzio uliye naye kama anaweza kukubali kuwa na rafiki wa jinsia tofauti, 'just a friend'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…