Tayari wapo waliosema wana experience kwahiyo hamna cha "hawajaexperience". . . au unataka mpaka wajaribu kwako ndo utaamini kwamba inawezekana?inawezekana wachache hao
hawaja experience ndo maana wanasema hivyo
To some of us having multiple opposite sex 'just' friends is bad enough.
@ NN & Boss. . .
You guys should start an Anti-'we are just friends' with the opposite sex movement. Alafu msisahau kwamba hata wanawake kwa wanawake wanachukuana siku hizi.
Haibadili the fact kwamba anatamani na amaridhishwa na mtu mwingine tofauti na wewe. Wala haifanyi kucheat kwake kuwe na nafuu kwasababu tayari anaongeza mtu wa tatu kwenye mahusiano ya watu wawili.funny utashangaa nikikwambia most men
including me
huwa hatuogopi wala kuumia ukisikia mkeo au gf
ana 'girlfriend' ambae maybe wana nanihii...lol
the issue here is another man.....
Konnie nidai zawadi siku ya Valentine. . you deserve a promotion!!
ha ha ha
nataka kufungua advert company.
Hapa nafanya mazoezi kama naweza kuwa aggresive kutangaza kampuni yangu.
Ntakudai zawadi
huwa sisahau
@ NN & Boss. . .
You guys should start an Anti-'we are just friends' with the opposite sex movement. Alafu msisahau kwamba hata wanawake kwa wanawake wanachukuana siku hizi.
Sasa Konnie challenge zinakimbiwa ama zinakabiliwa?si kwamba haiwezekani kabisa
ila kuna challenge zake kama hizo.
hicho kipindi kikipita na msiharibu
mnakuwa real good good friends.
Sasa Konnie challenge zinakimbiwa ama zinakabiliwa?
Kama mtu hawezi tu kumwambia rafiki yake hapana pale anapomtongoza huku tayari akiwa na mahusiano mengine sasa nini anachoweza? Kina Boss na NN wakimtokea hapa JF ndio atakataa? Kina Juma na Frank wakimtokea FB ndio ataweza? Maboss na CO-workers wakimtokea ndio ataweza? Vijana na wazee wa mtaani wakimtokea ndio ataweza?
Kitu self control lazima kiwepo
hata kama una-feel kitu
hasa pale mnapokuwa kwenye mahusiano mengine
ila hiyo ya kumfeel rafiki hutokea sometimes.
Kwani rafiki akiomba lazima apewe ..si unamwambia tu no feeling for you ,,kama ndo mwisho wa urafiki sawa tu:A S-coffee:
Feelings hutokea mara nyingi ..hasa wanaume wanajifanya wana feelings/tamaa sana.Lakn ukiidharau mtaendelea na urafiki.Mkiendekeza ndio mwisho wa urafiki.
Sasa kama mtu hana self-control hata ukimfungia ndani wakati unaenda kazini siatapandisha mtu ukuta?Au hata apande yeye?Kitu self control lazima kiwepo
hata kama una-feel kitu
hasa pale mnapokuwa kwenye mahusiano mengine
ila hiyo ya kumfeel rafiki hutokea sometimes.
@Lizzy
kwa hiyo unaafiki kuwa
unaweza kumfeel rafiki yako
ila self control ikachukua mkondo wake?
@Lizzy
nilimaanisha kumfeel/tamani kimapenzi
na bado ukaipotezea
kulinda urafiki
Labda kama urafiki wetu ulianza baada ya mimi kuwa na mahusiano, na ikitokea hivyo itabidi nijiulize kama nimeridhika na niliye nae au la. Kama ni tamaa tu sitoendekeza, naipishia mbali.Wale 'mupenzi' atakaonikuta nao siwezi nikawatamani wakati nikiwa na mtu wakati sikuwatamani nikiwa sina.