Just a question, hivi Pandu Kificho CCM imemuona kashindwa kuongoza Bunge la katiba?

sixgates

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2011
Posts
3,979
Reaction score
1,665
Najiuliza so many question why in most cases watanzania tunapenda kucheza ngoma inayopigwa na CCM hata kwenye mambo ambayo hata hayahitaji kuyatizama beyond physical reality? Taking example hii syndrome kuwa Sitta is the only person who can fit as a chairperson in the constitutional assembly..hii ipo hapa Dodoma, like kila mjumbe ameshaaminishwa kuwa Sitta is the last Don to lead our journey toward New Constitution, the syndrome is getting even worse because the guy is now in the mainstream kila kona ya nchi, media outlets nazo zimeingia mtego uleule.

What m saying is, kama watanzania zaidi ya 600 wapo bunge la katiba kila mmoja ana uwezo, yet tunaaminishwa Sitta is the only person who is capable of leading CA nadhani itafika sehemu tunaowaona wamezaliwa kuwa viongozi wakifa na taifa litakwama. Nielezeni tatizo la Pandu Kificho so far? This guy deserve that chair to the end.

Why we should not trust Samweli Sitta is as other human being, his mind is growing,goals change, is pron to change as anybody else, hakuna binadamu mwenye mawazo na misimamo ambayo ni permanent.. when people get facts to change their behaviour and attitude, they alwys change (its psychological).

The other time Samweli Sitta akiwa spika alikuwa anayafanya anayoonekana aliyaweza coz alikuwa na motive behind. Sasa hivi ccm wameenda, wamempa facts and reasons why he should stand as constitutional assembly chairperson na hawajataka kumpa mpizani. Ccm wangeweza kumpa sitta mpinzani hata wa kutokea mlango wa nyuma (nje ya ccm) but uwenyekiti wa sitta pale bungeni ni muhimu kwa CCM kuliko wale wajumbe 201 alioteua President.

Nia yangu ni kutaka sisi great thinkers ku avoid kuwa washed away with kila kinachosemwa na crowd, sababu ccm wanaelewa weakness ya watu ipo wapi na hapo ndipo wanapotupa grenade or dynamite. Ikiwa Sitta atakuwa mwenyekiti, jiandaen kisaikolojia kupokea msiyoyategemea.

Sixgates
Dsm
 
Kama walivyoaminishwa kuwa matatizo yoye ya wananchi yataisha katiba mpya ikipatikana
 
You have a point, Azimio la Arusha tungalilisoma hata nusu, tukalifuata kwa matendo hata, kurasa sita zingetosha kuifanya tanzania kuwa nchi bora. Ile doctrine sasa imetupwa tupo kwenye katiba, katiba imetupwa tupo kwenye kura ya siri, ya siri imeisha tupo kwa samweli sitta. Mengi yatakuja.
 
Najiuliza so many question why in most cases watanzania tunapenda kucheza ngoma inayopigwa na CCM hata kwenye mambo ambayo hata hayahitaji kuyatizama beyond physical reality? Taking example hii syndrome kuwa Sitta is the only person who can fit as a chairperson in the constitutional assembly..hii ipo hapa Dodoma, like kila mjumbe ameshaaminishwa kuwa Sitta is the last Don to lead our journey toward New Constitution, the syndrome is getting even worse because the guy is now in the mainstream kila kona ya nchi, media outlets nazo zimeingia mtego uleule.

What m saying is, kama watanzania zaidi ya 600 wapo bunge la katiba kila mmoja ana uwezo, yet tunaaminishwa Sitta is the only person who is capable of leading CA nadhani itafika sehemu tunaowaona wamezaliwa kuwa viongozi wakifa na taifa litakwama. Nielezeni tatizo la Pandu Kificho so far? This guy deserve that chair to the end.

Why we should not trust Samweli Sitta is as other human being, his mind is growing,goals change, is pron to change as anybody else, hakuna binadamu mwenye mawazo na misimamo ambayo ni permanent.. when people get facts to change their behaviour and attitude, they alwys change (its psychological).

The other time Samweli Sitta akiwa spika alikuwa anayafanya anayoonekana aliyaweza coz alikuwa na motive behind. Sasa hivi ccm wameenda, wamempa facts and reasons why he should stand as constitutional assembly chairperson na hawajataka kumpa mpizani. Ccm wangeweza kumpa sitta mpinzani hata wa kutokea mlango wa nyuma (nje ya ccm) but uwenyekiti wa sitta pale bungeni ni muhimu kwa CCM kuliko wale wajumbe 201 alioteua President.

Nia yangu ni kutaka sisi great thinkers ku avoid kuwa washed away with kila kinachosemwa na crowd, sababu ccm wanaelewa weakness ya watu ipo wapi na hapo ndipo wanapotupa grenade or dynamite. Ikiwa Sitta atakuwa mwenyekiti, jiandaen kisaikolojia kupokea msiyoyategemea.

Sixgates
Dsm

Kwa mujibu wa sheria ya mabadiliko ya katiba, mwenyekiti wa muda hataweza kugombea nafasi ya mwenyekiti wa kudumu.
 
Kwa hiyo unataka Pandu kificho agombee uenyekiti siyo!
 
Kwa mujibu wa sheria ya mabadiliko ya katiba, mwenyekiti wa muda hataweza kugombea nafasi ya mwenyekiti wa kudumu.
Umemjibu vizuri. Swali langu hapo juu lililenga kutoa majibu hayo
 
Kwani wewe sixgates ​unamtaka nani agombee?
 
Kwa mujibu wa sheria ya mabadiliko ya katiba, mwenyekiti wa muda hataweza kugombea nafasi ya mwenyekiti wa kudumu.

Umenijibu vizuri sana. So over all the people Sitta ndio point inayotegemewa, no wander ccm knew this that why they played their card very carefully.
 
Mkuu umeeleza kwa ufasaha mno. Ni hakika kabisa CCM na Samwel sitta lazima wamefikia a kind of agreement na ndo maana Nape na Kinana na wenzao wamemkubali. Haingekuwa kazi rahisi hata kidogo kupitishwa Sitta kama asingekuwa tayari kubeba utashi na agenda za CCM. Lazima upinzani uachache kucheza ngoma ya CCM ya kwenda na Samwel Sitta na badala yake uunganishe nguvu kutoa Mgombea atakaekubalika na Upinzani Pamoja na wale wa makundi maalum. Vyenginevyo, kama alivyoeleza ndugu Sixgates personally naanza kujitayarisha kisaikolojia!
 
Mkuu sixgates, the fact here is Sitta Legacy,I concur with you that in any Democratic Country or Process habits of this nature should utterly be discouraged. But taking circumstances and prevailing situation of what was transpiring during the preliminary processes of Our Constitutional Assembly the need for a Person of Sitta Calibre is underscored.

So defacto Sitta can have a Majority support in comparison with other potential candidates but that is obscure and not guaranteed as he being a human being and hence immortal and taking into consideration of the Majority of CCM Candidates being of a chameleon like behaviour we should expect anything from good to worse.

In Swahili we have a Proverb that HERI NUSU SHARI KULIKO SHARI KAMILI, that being the case let us give him a benefit of doubt atleast for the last Time.
 
Hakuna aliyemzuia safari prof. asigombee.
Wenye ngoma yao(wajumbe) wanaamini Sita ndiyo chaguo lao halisi.
Sixgates iache demokrasi ifanye kazi yake.
 
Najiuliza so many question why in most cases watanzania tunapenda kucheza ngoma inayopigwa na CCM hata kwenye mambo ambayo hata hayahitaji kuyatizama beyond physical reality? Taking example hii syndrome kuwa Sitta is the only person who can fit as a chairperson in the constitutional assembly..hii ipo hapa Dodoma, like kila mjumbe ameshaaminishwa kuwa Sitta is the last Don to lead our journey toward New Constitution, the syndrome is getting even worse because the guy is now in the mainstream kila kona ya nchi, media outlets nazo zimeingia mtego uleule.

What m saying is, kama watanzania zaidi ya 600 wapo bunge la katiba kila mmoja ana uwezo, yet tunaaminishwa Sitta is the only person who is capable of leading CA nadhani itafika sehemu tunaowaona wamezaliwa kuwa viongozi wakifa na taifa litakwama. Nielezeni tatizo la Pandu Kificho so far? This guy deserve that chair to the end.

Why we should not trust Samweli Sitta is as other human being, his mind is growing,goals change, is pron to change as anybody else, hakuna binadamu mwenye mawazo na misimamo ambayo ni permanent.. when people get facts to change their behaviour and attitude, they alwys change (its psychological).

The other time Samweli Sitta akiwa spika alikuwa anayafanya anayoonekana aliyaweza coz alikuwa na motive behind. Sasa hivi ccm wameenda, wamempa facts and reasons why he should stand as constitutional assembly chairperson na hawajataka kumpa mpizani. Ccm wangeweza kumpa sitta mpinzani hata wa kutokea mlango wa nyuma (nje ya ccm) but uwenyekiti wa sitta pale bungeni ni muhimu kwa CCM kuliko wale wajumbe 201 alioteua President.

Nia yangu ni kutaka sisi great thinkers ku avoid kuwa washed away with kila kinachosemwa na crowd, sababu ccm wanaelewa weakness ya watu ipo wapi na hapo ndipo wanapotupa grenade or dynamite. Ikiwa Sitta atakuwa mwenyekiti, jiandaen kisaikolojia kupokea msiyoyategemea.

Sixgates
Dsm
Well said brother. Hakika ni Sitta huyuhuyu anayesifika kwa kuendesha bunge la tisa kwa kiwango ambacho hata mm sina mashaka nacho. Shaka yangu ni kama yako. Kama walimkubali kwa bunge la tisa, iweje CCM hiyohiyo ilimtosa kwa kisingizio cha gender alipogombea kwa mara ya pili? Hakika kuna walakin kama ulivyoainisha
Well said brother

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
mkuu sixgates, the fact here is sitta legacy,i concur with you that in any democratic country or process habits of this nature should utterly be discouraged. But taking circumstances and prevailing situation of what was transpiring during the preliminary processes of our constitutional assembly the need for a person of sitta calibre is underscored.

So defacto sitta can have a majority support in comparison with other potential candidates but that is obscure and not guaranteed as he being a human being and hence immortal and taking into consideration of the majority of ccm candidates being of a chameleon like behaviour we should expect anything from good to worse.

In swahili we have a proverb that heri nusu shari kuliko shari kamili, that being the case let us give him a benefit of doubt atleast for the last time.

hapa ndipo mwenzenu mnaponiacha, badala mjadili kwa kiswahili ili wote tuelewe vizuri mnamomboka, kwa sisi tuliosoma mtakatifu kayumba mnatutenga!
 
Mitandao kama hii ndio inasaidia sisi kutoa viws zetu kutahadharisha umma ila bahati mbaya wenye mitandao hii nao wanatukatisha tamaa hata kup-post mawazo yetu ili yawafike walengwa.

Binafsi niliweka uzi hapa nikionya kuhusu huyo Sitta ila mbaya uzi ule ukahamishiwa jukwaa la katiba mpya.
Tatizo hilo jukwaa halina wasomaji wengi na matokeo yake ni kuwa ulichoandika kinakuwa kimepotea.

Huu uzi wako nao ni muhimu ukaachwa hapa kwani kwani uchaguzi bado na wewe umetoa somo kwa wajumbe kuwa makini.Hata hivyo, mods sidhani kama wanatambua umuhimu huu kwa kipindi hiki

Ni kweli hizi habari zinahusu katiba mpya,ila zikihamishiwa huko kweli kuna wasomaji kama kwenye hili jukwaa?Cha muhimu kwa sasa ni kuzingatia jukwaa au taifa?

Mimi nawashauri mtu akileta mada yenye maslahi kwa taifa juu ya katiba mpya waiache tu badala ya kuihamisha kwani muda wa maamuzi juu ya katiba ndio huu na ukpita ndio umepita.

CCM hawana nia njema na katiba na Sitta ndio wale wale tu.Nilishangaa hata Lipumba kumpigia debe eti ni mzee wa viwango!

Kwenye uzi wangu ule mimi nilionya kuwa,Sitta na CCM ni sawa na "Zimwi likujualo halikuli ukakwisha".Kwenye huo uzi wangu nililenga kuwaonya wale wote wanaoshabikia jina la Sitta ili hali Sitta ni CCM damu damu.

Wapinzani msitarajie Sitta atatenda haki hasa kwa mambo mazito.

Watanzania tuache kupumbazwa na hawa CCM!
 
Balungi hata mimi nimesoma hukohuko ila nikuhakikishie tu kama ni lugha hata kiswahili tunachoandika na kuelewanan humu ndani kama kilivyo kingereza sicho kabisa .Kimsingi nimeunga Mkono hoja ya mleta uzi ila nikwa kutahadharisha kwamba katika wengi waliotajwatajwa angalu Sita anauzika kidogo.Lakini pia nimeeeleza kuwa tabia ya kupendekeza mtu na kuacha bila kupingwa ni mbaya na inaharibu haki za kidemokrasia za watu za kuchagua na kushiriki kuchaguliwa.

Pia nimetoa angalizo kuhusu tabia ya kubadilikabadilika ya viongozi wa CCM ambao mara nyingi hawamaanishi kile wanacho kisema na vilevile kwakuwa naye Mh.Sitta nibinadamu tuwetayari kupokea au kuona lolote baya au zuri
 
Pandu kificho kamaliza kazi yake leo au kesho atamaliza kabisa baada ya uchaguzi hope sitta ndiyo anafuata kuongoza bunge la katiba.
 
Sitta can not be the only figure but he is the favorite among CCMs. Hata wangekuwepo 300 wanaofaa lazima ni mmoja tu angechaguliwa and by chance or otherwise huyo mmoja ni Sitta...
 
Mkuu umeeleza kwa ufasaha mno. Ni hakika kabisa CCM na Samwel sitta lazima wamefikia a kind of agreement na ndo maana Nape na Kinana na wenzao wamemkubali. Haingekuwa kazi rahisi hata kidogo kupitishwa Sitta kama asingekuwa tayari kubeba utashi na agenda za CCM. Lazima upinzani uachache kucheza ngoma ya CCM ya kwenda na Samwel Sitta na badala yake uunganishe nguvu kutoa Mgombea atakaekubalika na Upinzani Pamoja na wale wa makundi maalum. Vyenginevyo, kama alivyoeleza ndugu Sixgates personally naanza kujitayarisha kisaikolojia!

Mkuu unadhani hata wakiunganisha nguvu wanaweza kumshinda Sitta?
CCM imejaa kwenye bunge la katiba, kuanzia wabunge wa kawaida
hadi waliowakilisha waganga wa kienyeji so unadhani katika hali hiyo anaweza kupenya mgombea wa upinzani?
Sidhani ni kupoteza muda na resaources kama zinavyopotea kwa wagombea wa CDM, TLP na NCCR Mageuzi kwenye majimbo ya Unguja na Pemba. Bahati mbaya wengine hatuna ngozi ngumu ya kukubali kupoteza muda kwa kupanda mahali ambapo unajua fika hakuna unachotarajia kuvuna
 
Mitandao kama hii ndio inasaidia sisi kutoa viws zetu kutahadharisha umma ila bahati mbaya wenye mitandao hii nao wanatukatisha tamaa hata kup-post mawazo yetu ili yawafike walengwa.

Binafsi niliweka uzi hapa nikionya kuhusu huyo Sitta ila mbaya uzi ule ukahamishiwa jukwaa la katiba mpya.
Tatizo hilo jukwaa halina wasomaji wengi na matokeo yake ni kuwa ulichoandika kinakuwa kimepotea.

Huu uzi wako nao ni muhimu ukaachwa hapa kwani kwani uchaguzi bado na wewe umetoa somo kwa wajumbe kuwa makini.Hata hivyo, mods sidhani kama wanatambua umuhimu huu kwa kipindi hiki

Ni kweli hizi habari zinahusu katiba mpya,ila zikihamishiwa huko kweli kuna wasomaji kama kwenye hili jukwaa?Cha muhimu kwa sasa ni kuzingatia jukwaa au taifa?

Mimi nawashauri mtu akileta mada yenye maslahi kwa taifa juu ya katiba mpya waiache tu badala ya kuihamisha kwani muda wa maamuzi juu ya katiba ndio huu na ukpita ndio umepita.

CCM hawana nia njema na katiba na Sitta ndio wale wale tu.Nilishangaa hata Lipumba kumpigia debe eti ni mzee wa viwango!

Kwenye uzi wangu ule mimi nilionya kuwa,Sitta na CCM ni sawa na "Zimwi likujualo halikuli ukakwisha".Kwenye huo uzi wangu nililenga kuwaonya wale wote wanaoshabikia jina la Sitta ili hali Sitta ni CCM damu damu.

Wapinzani msitarajie Sitta atatenda haki hasa kwa mambo mazito.

Watanzania tuache kupumbazwa na hawa CCM!
Hili suala ni lawapiga kura na wajumbe kwa ujumla kama wajumbe wataona anafaa watamchagua kama wewe humtaki basi lete mgombea ashindane na sitta wajumbe wapime na kuamua wamchague nani baina yao.
 
Back
Top Bottom