Just a question, hivi Pandu Kificho CCM imemuona kashindwa kuongoza Bunge la katiba?

Just a question, hivi Pandu Kificho CCM imemuona kashindwa kuongoza Bunge la katiba?

Umemjibu vizuri. Swali langu hapo juu lililenga kutoa majibu hayo

Wewe Pimbi acha kudandia akili makini za watu kibaraka mkubwa wewe, ulishindwa vipi kumjibu straight? au unadhani hapa wamejaa wala ubwabwa na wacheza mdundiko wenzako?
 
Najiuliza so many question why in most cases watanzania tunapenda kucheza ngoma inayopigwa na CCM hata kwenye mambo ambayo hata hayahitaji kuyatizama beyond physical reality? Taking example hii syndrome kuwa Sitta is the only person who can fit as a chairperson in the constitutional assembly..hii ipo hapa Dodoma, like kila mjumbe ameshaaminishwa kuwa Sitta is the last Don to lead our journey toward New Constitution, the syndrome is getting even worse because the guy is now in the mainstream kila kona ya nchi, media outlets nazo zimeingia mtego uleule.

What m saying is, kama watanzania zaidi ya 600 wapo bunge la katiba kila mmoja ana uwezo, yet tunaaminishwa Sitta is the only person who is capable of leading CA nadhani itafika sehemu tunaowaona wamezaliwa kuwa viongozi wakifa na taifa litakwama. Nielezeni tatizo la Pandu Kificho so far? This guy deserve that chair to the end.

Why we should not trust Samweli Sitta is as other human being, his mind is growing,goals change, is pron to change as anybody else, hakuna binadamu mwenye mawazo na misimamo ambayo ni permanent.. when people get facts to change their behaviour and attitude, they alwys change (its psychological).

The other time Samweli Sitta akiwa spika alikuwa anayafanya anayoonekana aliyaweza coz alikuwa na motive behind. Sasa hivi ccm wameenda, wamempa facts and reasons why he should stand as constitutional assembly chairperson na hawajataka kumpa mpizani. Ccm wangeweza kumpa sitta mpinzani hata wa kutokea mlango wa nyuma (nje ya ccm) but uwenyekiti wa sitta pale bungeni ni muhimu kwa CCM kuliko wale wajumbe 201 alioteua President.


Nia yangu ni kutaka sisi great thinkers ku avoid kuwa washed away with kila kinachosemwa na crowd, sababu ccm wanaelewa weakness ya watu ipo wapi na hapo ndipo wanapotupa grenade or dynamite. Ikiwa Sitta atakuwa mwenyekiti, jiandaen kisaikolojia kupokea msiyoyategemea.

Sixgates
Dsm

Hapo six umenena sita kama ni mzuri kwa Nini ccm walimuengua kwa kigezo cha jinsia leo haohao ccm wanamtaka na mkumbuke jamaaa ana kiu ya urais atafanya kila awezalo arudishe imani kwa ccm ili kura za maoni za ccm za presidential candidate apete
 
Kwa mujibu wa sheria ya mabadiliko ya katiba, mwenyekiti wa muda hataweza kugombea nafasi ya mwenyekiti wa kudumu.

You might be right but the most important reason is that the Chairperson must possess at least Bachelors degree in law and unfortunately Mr. Kificho doesn't have that qualification.

Hata hivyo namsifu sana Mh. Pandu Kificho kwa umahiri mkubwa alioonesha kwenye nafasi yake ya Mwenyekiti wa Muda na hasa composition ya Kamati ya Kanuni. Huyu Mh. angekuwa amesoma kwenye level ya PhD angekuwa mtu "hatari" sana. Anyway, kwa asilimia kubwa waZanzibabri wako makini kuliko sisi wamatumbi.
 
inawezekana CCM wakajiona wamecheza karata zao vizuri lakini matokeo yakaja kinyume.CCM walidhani wamecheza karata zao vizuri kuwajaza makada wao maarufu ktk tume ya katiba kama, JOSEF WARIOBA,SALIM A SALIM na wengine wengi,mabaraza ya katiba yalijazwa makada wa CCM. lakini sasa unadhani ni kwa nini CCM ndio kikundi pekee kilichokua cha kwanza kupinga maoni ya wananchi kupitia tume ya katiba? hata SITTA anaweza fanya kama kina WARIOBA.
 
Back
Top Bottom