Just a question, hivi Pandu Kificho CCM imemuona kashindwa kuongoza Bunge la katiba?

Umemjibu vizuri. Swali langu hapo juu lililenga kutoa majibu hayo

Wewe Pimbi acha kudandia akili makini za watu kibaraka mkubwa wewe, ulishindwa vipi kumjibu straight? au unadhani hapa wamejaa wala ubwabwa na wacheza mdundiko wenzako?
 

Hapo six umenena sita kama ni mzuri kwa Nini ccm walimuengua kwa kigezo cha jinsia leo haohao ccm wanamtaka na mkumbuke jamaaa ana kiu ya urais atafanya kila awezalo arudishe imani kwa ccm ili kura za maoni za ccm za presidential candidate apete
 
Kwa mujibu wa sheria ya mabadiliko ya katiba, mwenyekiti wa muda hataweza kugombea nafasi ya mwenyekiti wa kudumu.

You might be right but the most important reason is that the Chairperson must possess at least Bachelors degree in law and unfortunately Mr. Kificho doesn't have that qualification.

Hata hivyo namsifu sana Mh. Pandu Kificho kwa umahiri mkubwa alioonesha kwenye nafasi yake ya Mwenyekiti wa Muda na hasa composition ya Kamati ya Kanuni. Huyu Mh. angekuwa amesoma kwenye level ya PhD angekuwa mtu "hatari" sana. Anyway, kwa asilimia kubwa waZanzibabri wako makini kuliko sisi wamatumbi.
 
inawezekana CCM wakajiona wamecheza karata zao vizuri lakini matokeo yakaja kinyume.CCM walidhani wamecheza karata zao vizuri kuwajaza makada wao maarufu ktk tume ya katiba kama, JOSEF WARIOBA,SALIM A SALIM na wengine wengi,mabaraza ya katiba yalijazwa makada wa CCM. lakini sasa unadhani ni kwa nini CCM ndio kikundi pekee kilichokua cha kwanza kupinga maoni ya wananchi kupitia tume ya katiba? hata SITTA anaweza fanya kama kina WARIOBA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…