Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,165
- 16,791
Tushajizoesha mitaa/maeneo yetu kuyapa majina mbalimbali ya nchi mbalimbali, hebu taja jina la nchi ambayo ulishawahi kuisikia katika mitaa yako au nchi yoyote uliyowahi kuisikia ndani ya TZ na eneo husika kama ifuatavyo
Mfano:-
Argentina ipo Manzese
Sudan ipo Temeke
Palestina ipo Sinza
iraq ipo Mbagala
Argentina ipo Yombo
Ghana ipo Buguruni
Huko pengine kuna nchi gani??
Just for fun
Mfano:-
Argentina ipo Manzese
Sudan ipo Temeke
Palestina ipo Sinza
iraq ipo Mbagala
Argentina ipo Yombo
Ghana ipo Buguruni
Huko pengine kuna nchi gani??
Just for fun