Hizi assignments zingine bana..kasome company act na desa la company la kenya limeandikwa na mtu anaitwa salim nafikiri kila kitu kipo humo..
Mkuu kasome tena LLC maana yake. Yani kama ungekuwa unaelewa vizuri usingelipost kiyo kitu hapo juu. Inaonyesha unajua vizuri hiyo LLC inavyofanya kazi sasa kukosa kujiamini umeamua kupost ili uwe na uhakika zaidi. Rudia tena maana ya LLC katika madesa yako. Kuna kitu utakipata kipo viseversa na ulichoandika kwa huyo shareholder B.
Vijana, I'm not a lawyer, neither am I taking a law degree. This is a real-life scenario. Nimesearch online na nimepata answers according to American laws. Nia ya ku-post hapa ni kupata majibu as per Tanzania's laws. Kama unaweza kujibu, go ahead and help. Otherwise kaa kimya, sio unapoteza muda wako, na wangu kuniambia nikapitie desas.
Wewe nishagundua hutaki kuelewa. Kama unaelewa unaleta ubishi usio na sababu. Huwezi sema LLC halafu ukaongelea kisheria director B madeni yake personal kampuni ndo ibebe. Labda kama hujui maana ya LLC. Nimekwambia kuanzia mwanzo kunakitu unakijua ila unajichanganya. Ebu refer tena maana ya LLC hope utanielewa.
A Company is an entity. Kwa hiyo hawezi kukopa kwa jina lake halafu kampuni ilipe.
Kwa msingi huo sioni kama swali lako ni valid kwa kuanzia.
Unless niwe nimekosea premise yangu maana mi sio mwanasheria 🙂
A company is an entity characterized by separate legal entity from its shareholders therefore it can't be liable for the loans of individual holders,ref. Company Act 4 more clarification on meaning,characteristics,operation and liabilities of a company