Just how liable is a Limited Liability Company (LLC)?

anonimuz

Senior Member
Joined
Nov 5, 2007
Posts
102
Reaction score
71
Habari wana JF. Naombeni msaada wenu kwenye scenario hii:

Kuna LLC ina two Directors, say A and B. A holds 90% and B holds 10% of the shares. Now, B has personal loans and her creditors are after her. Swali

a) Can a court order an injunction on the LLC's assets to pay B's personal loans?
b) If yes, is it limited to B's shares or can extend to A's (in case B's 10% cant cover the loans)?

Asanteni sana
 
Hizi assignments zingine bana..kasome company act na desa la company la kenya limeandikwa na mtu anaitwa salim nafikiri kila kitu kipo humo..
 
Mkuu kasome tena LLC maana yake. Yani kama ungekuwa unaelewa vizuri usingelipost kiyo kitu hapo juu. Inaonyesha unajua vizuri hiyo LLC inavyofanya kazi sasa kukosa kujiamini umeamua kupost ili uwe na uhakika zaidi. Rudia tena maana ya LLC katika madesa yako. Kuna kitu utakipata kipo viseversa na ulichoandika kwa huyo shareholder B.
 
Vijana, I'm not a lawyer, neither am I taking a law degree. This is a real-life scenario. Nimesearch online na nimepata answers according to American laws. Nia ya ku-post hapa ni kupata majibu as per Tanzania's laws. Kama unaweza kujibu, go ahead and help. Otherwise kaa kimya, sio unapoteza muda wako, na wangu kuniambia nikapitie desas.
 
Wewe nishagundua hutaki kuelewa. Kama unaelewa unaleta ubishi usio na sababu. Huwezi sema LLC halafu ukaongelea kisheria director B madeni yake personal kampuni ndo ibebe. Labda kama hujui maana ya LLC. Nimekwambia kuanzia mwanzo kunakitu unakijua ila unajichanganya. Ebu refer tena maana ya LLC hope utanielewa.
 
Wabongo kweli tunapenda ligi. Nimesema: TOA JIBU AU KAA KIMYA. Don't tell me to go refer somewhere else. Acha kupoteza muda wako na kujiumiza kichwa
 
A Company is an entity. Kwa hiyo hawezi kukopa kwa jina lake halafu kampuni ilipe.
Kwa msingi huo sioni kama swali lako ni valid kwa kuanzia.
Unless niwe nimekosea premise yangu maana mi sio mwanasheria 🙂
 
A company is an entity characterized by separate legal entity from its shareholders therefore it can't be liable for the loans of individual holders,ref. Company Act 4 more clarification on meaning,characteristics,operation and liabilities of a company
 
Asanteni sana wakuu. This is how a forum should be. Unatoa jibu, advice, comment yenye msaada.
 
Back
Top Bottom