Just image league moja iwe na teams hizi hapa

Just image league moja iwe na teams hizi hapa

Hiyo kitu ulaya waliigomea ya kuitwa supa ligi. Ila huku afrika tumeikubali na inaanza mwezi wa nane.

Hebu imagine timu kama Simba, Zamaleki, al Ahly, Mamelodi, Mazembe, Esperance du tunis, Waydad, Raja casablanca, nk hapo vipi ?
 
Real madred

Barcelona

Bayern munich

Man united

Man city

Liverpool

PSG

A madrd

Chelsea

Inter milan

Ac mila

Juventus

Dortmund

Olympic de marseill

Porto

Halafu zote zikiwa kwenye ubora wao
Unafikiri ni team hipi inaweza kuchukuwa ubingwa hapa wa league hii
Boca juniors
River plate
Juve
Napoli
Roma
Al ahly
Wydad casablanca
Raja casablanca
Pyramids
Zamalek
Esperance de tunis
mazembe
Yanga🤣
Simba🤣
Azam🤣
 
Lazima bigwa awepo na timu ya mwisho iwepo, hakuna namna mkuu. Raha ya mpira wa miguu ni kushinda mara nyingi na kufungwa mara chache.
 
Back
Top Bottom