Just image league moja iwe na teams hizi hapa

Hiyo kitu ulaya waliigomea ya kuitwa supa ligi. Ila huku afrika tumeikubali na inaanza mwezi wa nane.

Hebu imagine timu kama Simba, Zamaleki, al Ahly, Mamelodi, Mazembe, Esperance du tunis, Waydad, Raja casablanca, nk hapo vipi ?
 
Boca juniors
River plate
Juve
Napoli
Roma
Al ahly
Wydad casablanca
Raja casablanca
Pyramids
Zamalek
Esperance de tunis
mazembe
Yanga🤣
Simba🤣
Azam🤣
 
Lazima bigwa awepo na timu ya mwisho iwepo, hakuna namna mkuu. Raha ya mpira wa miguu ni kushinda mara nyingi na kufungwa mara chache.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…