Just imagine this happened in your life!!

Be the first to call the police, the drunk bitch in your car will explain how she got you into that mess!

If you try to explain it yourself, you'll f@ck it up even more. This is a rare scenario where the little truth that you know may not help you!
...👍👍
 
Mi ndiyo nayoipenda maana kheri mwanaume muwazi na unaetambua tabia yake kuliko ajifanyae mtakatifu mwisho anakuletea ukimwi ndani kimya kimya ila Sema ndo Ivo upo Kwenye wakati wa kumchagua aliyesahihi zaidi ni lazima uwe Ivo jiran
Jirani unapenda tabia yangu mbaya... hahahaha 😍 😍 😍
 
Jirani namiss vilio vyako...
😭so sad,maumivu yangu kumbe ni faraja kwako.But jirani nilibeba ushauri ambao Kuna siku ulinishauri "mchawi pesa" nitafurahi nikifa nazitafuta,nataka nianze kuuza ngada jirani
 
Napenda sauti yako ukilia...
Jirani, ngada na poda zinapesa nzuri ila utakua unaishi kwa wasi wasi...

Alafu utakua unagawana sana pesa na mamlaka...

Kuna zile business zile ulizosema za halali zile, embu anza na zile...
 
Sawa,Asante sana🙏
 
In law we deal with facts, the fact that Cathy was found inside yo' car does not prove that you know each other😜 this is trespass😉😅 my dia, you better call the police😝
 
Be the first to call the police, the drunk bitch in your car will explain how she got you into that mess!

If you try to explain it yourself, you'll f@ck it up even more. This is a rare scenario where the little truth that you know may not help you!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom