A Algedo Member Joined Jul 24, 2020 Posts 98 Reaction score 164 Mar 30, 2021 #1 Hellow. Sote tunajua wazi kati ya Bar na Bra zikifunguliwa lazima kwa mwanaume yoyote atatokwa na udenda unless awe shoga, anisi au mlokole(hatumii kilevii) So hebu jaribu kuimagine mwanamke aitwe Brabar😂😂😂.
Hellow. Sote tunajua wazi kati ya Bar na Bra zikifunguliwa lazima kwa mwanaume yoyote atatokwa na udenda unless awe shoga, anisi au mlokole(hatumii kilevii) So hebu jaribu kuimagine mwanamke aitwe Brabar😂😂😂.