Kuntakinte JF-Expert Member Joined May 26, 2007 Posts 701 Reaction score 34 Feb 13, 2009 #1 Just imagine upo mitaa ya Kariakoo, halafu anatoke mtu mwenye matatizo ya ngozi (Zeruzeru) anakupora simu yako mpya uliyoitafutia hela kama miezi 3 hivi unahangaika ili uinunue halafu wewe unaaanza kumkimbiza? Je unadhani wananchi watakuchukiliaje?
Just imagine upo mitaa ya Kariakoo, halafu anatoke mtu mwenye matatizo ya ngozi (Zeruzeru) anakupora simu yako mpya uliyoitafutia hela kama miezi 3 hivi unahangaika ili uinunue halafu wewe unaaanza kumkimbiza? Je unadhani wananchi watakuchukiliaje?
senator JF-Expert Member Joined Aug 9, 2007 Posts 1,924 Reaction score 66 Feb 13, 2009 #2 Unamkimbiza huku unampigia yowee la ,mwizziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!! ukimkimbiza kimya kimya itakuwa msala kwako
Unamkimbiza huku unampigia yowee la ,mwizziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!! ukimkimbiza kimya kimya itakuwa msala kwako