Just IN: Diamond Atangazwa Mshindi MTVEMA


Priyanka chopra ata nisamehe kura zangu zote kwa diamond Kama ijumaa nilivyofanya nilivote masaa mawili bila kumpumzika
 
Hahaaa huyo priyanka tutamnyoosha tu hata kwa pasi ya mkaa,,, woyooooo,🙌🙌
 
Watu kimyaaaaaaaaaaa, mana swaga zote washazimaliza na bado tuzo zinazidi kumiminika tu.
 
jaman tuendelee kuvote mana yule bint priyanca ni hatari namjua vizuri
 
Kwa mujibu wa taarifa ya Mtv Ema , sasa Diamond ameingia fainali ya kumtafuta mtumbuizaji bora wa dunia kupitia kipengele cha Africa/India .
Kutakuwa na washindi sita tu kutoka kila bara, hivyo basi unachotakiwa kumpigia kura chibu dangote kwa wingi ili aibuke kama mtumbuizaji bora duniani kutoka bara la Africa/India.
 
Hongera Mondi bin awards

Ila wabongo ni noma washavamia page ya insta ya priyanca chopra na kuanza kumzonga tena kwa kiswahili 😂😂😂😂 kweli atajutaa
 
Kupiga kura ingia link hii ⬇ inakupeleka category yake afu piga kura mara nyingi uwezavyo, unabonya neno vote pembeni ya picha ya diamond afu jibu unalopewa unakuwa unalikata (cancel) ili kuendelea kupiga kura, hata mara 20000 ili aibuke kinara best worldwide act kati ya washindi 6 duniani wataopatikana kwenye hiyo category (America, Europe, etc)

⬇
⬇

MTV EMA 2015 | 25.10.2015 | Milan | Vote
 
mmmhhh... huyu jamaa aliyemfanyia dawa alishavuta siku nyingii aisee... seriously, he has proved that anyone can be whatever he/she wants.
 
Reactions: me1
Azingatie tuu masharti, akikosea shauri yake
 
UUWIIII hongera sana diamond aisee..wewe ni kiboko yaoo mkuu

Huu ni mwiba kwa ma ukawa. Maana yalishaanza oooo diamond basi tena amekwisha kaingia ccm. Jamani mtu na chama chake. Wasanii wa ukawa hata hata award za kata hawawezi kuwa nominated. Viva diamond, kura yangu ni kwa Magufuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…