Just IN: Diamond Atangazwa Mshindi MTVEMA

Just IN: Diamond Atangazwa Mshindi MTVEMA

Hongera sana Ivan umefanana saaaana na mwanao kwel waganda wanafanana mno yani sana sana mpk basi hongera once again
 
Ndugu yangu Chakaza, nilitaka tu kukukumbushia yale niliyoongea juzi kwamba don't worry na wale wapiga kelele kwamba hawakuwa mashabiki wala wapuga kura wa Diamond!
AKA loses MTV EMA award to Diamond Platnumz"MTV today revealed that Diamond Platnumz is the winner of the 2015 MTV EMAs Best African Act. Scores of music fans visited mtvema.com to vote for Diamond Platnumz, who beat incredible competition from AKA, Yemi Alade, Davido, and DJ Arafat," a statement from the station read.

And now they want the whole of Africa to vote for Diamond to beat the competition in India, to win a Best African/Indian Act Award at the ceremony.
Source Channel24
 
Last edited by a moderator:
Kupiga kura ingia link hii ⬇ inakupeleka category yake afu piga kura mara nyingi uwezavyo, unabonya neno vote pembeni ya picha ya diamond afu jibu unalopewa unakuwa unalikata (cancel) ili kuendelea kupiga kura, hata mara 20000 ili aibuke kinara best worldwide act kati ya washindi 6 duniani wataopatikana kwenye hiyo category (America, Europe, etc)

⬇
⬇

MTV EMA 2015 | 25.10.2015 | Milan | Vote
Hili linipaswa kusisitizwa kila wakati manake majority wanadhani biashara ndo ishaisha kumbe tunasubiri nyingine!
 
Haiwezekani Tanzania The Best Live apate Ali kiba na The Best Africa Live Act apate diamond Platnumz.........Ina maana Bongo Magumashi mengi,tunapata Aibu kwa ajili ya watu wachache.!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Ndugu yangu Chakaza, nilitaka tu kukukumbushia yale niliyoongea juzi kwamba don't worry na wale wapiga kelele kwamba hawakuwa mashabiki wala wapuga kura wa Diamond!
Source Channel24
Ndugu yangu chige, mbona yale mie nilishakuambia kuwa ile post yangu ilipelekwa kusiko ndio ikazua balaa lote lile na nikafunga mjadala? Ilikuwa kama sheikh au Padre kuzungumzia madhara ya uasherati kwenye mazishi ya muathirika wa Ukimwi. Mafundisho hayo yataeleweka kuwa anamsema marehemu kumbe anawatahadharisha WALE WALIO HAI.
Hongera zake Diamond, kwa kum support nimeweka ringtone ya wimbo wake 'My number one' ila najua wapo wanaonishangaa kuwa huyu mzee wa zamani vipi tena!
Thank you chige.
 
Tena kwamba ile thread yako haukuwa umekusudia kuileta huku sema waliimuvizusha now it makes sense coz' na ndio maana hata kwenye ile thread nilisema kwamba hivi sasa mjadala ulishaanza kufifia na kutokea mara chache chache sana kutoka wana-UKAWA Asilia na sio wale ambao wali-pose kama UKAWA kumbe sio! Na kv nafahamu ww ni mfuasi zaidi wa kule na UKAWA, wala sikuwa na shaka kwamba kweli concern yako ilikuwa UKAWA lakini nilitaka tu kukupa upande wa pili wa shilingi ambao niliamini kwa mtu asiye mfuasi sana wa hili jukwaa huenda asifahamu! Na hata nilipokuita kwenye huu uzi wala haikulenga kukushua kwamba "si umeona!" and I hope unafahamu haikuwa lengo bali tu nilionelea nikukaribishe kwenye sherehe za kijana-- si unajua tena hata kama ni Sheikh unayetaka uvumilivu wa kidini bado huwezi kuandaa sikukuu ya pasaka msikitini--- au ndo yale yale yaliyokukuta; unaandaa pasaka nyumbani kuonesha umoja baina ya dini zetu mbili; ile umetoka tu, kurudi unakuta watoto wako wameihamishia sherehe msikitini kama msisitizo wa kuonesha umoja!!!!
 
Back
Top Bottom