Just In: Wachezaji mahiri Watatu wa USM Alger FC jana hawakucheza Dar es Salaam kwa Mkapa

Mmoja ni Mshambuliaji, Mmoja ni Kiungo na mwingine ni Winga wa Kushoto.

Baada ya GENTAMYCINE kuipata hii Taarifa naanza kuona Timu Moja ikifungwa hata Goli 7

Ni Mwendo wa Kuwakera tu JF.
Utakimbia humu yanga wakibeba ubingwa.
Acha kumaliza maneno
Mpira ni kitu cha ajabu wewe bwege
 
Utakimbia humu yanga wakibeba ubingwa.
Acha kumaliza maneno
Mpira ni kitu cha ajabu wewe bwege
Mbona na nyie mlimaliza maneno mkihisi jana mtashinda bao tatu??? Acha kutisha watu na kutukana watu bwana...
 
Mmoja ni Mshambuliaji, Mmoja ni Kiungo na mwingine ni Winga wa Kushoto.

Baada ya GENTAMYCINE kuipata hii Taarifa naanza kuona Timu Moja ikifungwa hata Goli 7

Ni Mwendo wa Kuwakera tu JF.
Wataje hao wachezaji na takwimu zao tuone huo u hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…