Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Tujenge utamaduni wa kutovilala vitoto. Mtoto wa mwenzio ni mtoto wakoAlimsukuma akaangukia kisogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tujenge utamaduni wa kutovilala vitoto. Mtoto wa mwenzio ni mtoto wakoAlimsukuma akaangukia kisogo.
Ulikuwepo? Janababa lote lile lisukumwe na kitoto U20 life?Alimsukuma akaangukia kisogo.
Anachostahili kwa mtazamo wako ni kipi?Yaani Kanumba ananiuma kama nilimzaa mimi...simchukii Lulu na hata kama aliua yeye najua hakukusudia ila natamani apate kile anachokistahili
Kama hakuhusika haki itendeke na kama alihusika vilevile apate adhabu anayostahiliAnachostahili kwa mtazamo wako ni kipi?
Basi sawa unachotamani exactly unakijuaKama hakuhusika haki itendeke na kama alihusika vilevile apate adhabu anayostahili
Kweli kabisa yaani hakuna hata mmoja aliemsalimia yule mama pale mahakamani, na baada ya kesi kila mtu kaondoka na gari yake yule mama kabaki ananyeshewa na mvua akielekea kwenye daladala. Imekuwa kama vile huyu mama ndio muuaji na Lulu ni mfiwa.Mkuu ya kweli haya?
Dah! Inasikitisha sana. Naomba hicho kimalaya kifungwe maisha, maana kinaonekana hakijutii aliyoyatenda.Kweli kabisa yaani hakuna hata mmoja aliemsalimia yule mama pale mahakamani, na baada ya kesi kila mtu kaondoka na gari yake yule mama kabaki ananyeshewa na mvua akielekea kwenye daladala. Imekuwa kama vile huyu mama ndio muuaji na Lulu ni mfiwa.
Dah! Inasikitisha sana. Naomba hicho kimalaya kifungwe maisha, maana kinaonekana hakijutii aliyoyatenda.