Justice for Kanumba: Wale marafiki, mashabiki wa Kanumba tujumuike hapa

Yaani Kanumba ananiuma kama nilimzaa mimi...simchukii Lulu na hata kama aliua yeye najua hakukusudia ila natamani apate kile anachokistahili
 
Mkuu ya kweli haya?
Kweli kabisa yaani hakuna hata mmoja aliemsalimia yule mama pale mahakamani, na baada ya kesi kila mtu kaondoka na gari yake yule mama kabaki ananyeshewa na mvua akielekea kwenye daladala. Imekuwa kama vile huyu mama ndio muuaji na Lulu ni mfiwa.
 
Dah! Inasikitisha sana. Naomba hicho kimalaya kifungwe maisha, maana kinaonekana hakijutii aliyoyatenda.
 
Dah! Inasikitisha sana. Naomba hicho kimalaya kifungwe maisha, maana kinaonekana hakijutii aliyoyatenda.

Hicho kimalaya Ndo kilichukua mali za kanumba??? ,magari aliyoacha??? Hatimiliki??? Embu muacheni Huyo mtoto .Mungu mkubwa atamtetea binadamu hamkosi la kusema
 
Kuna jamaa aliuliza kwanini watu hawakuluhusiwa kutoa heshima za mwisho kwa marehemu wakati wa kuaga mwili kama ilivyo desturi ya Christian badala zilikuja excuses baada ya kuanza zoezi.
Japo sina uhakika na alichokisema landa njie mnaodai justice mtakuwa na taarifa kamili je ni kweli aliagwa kwa style ilizoeleka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…