Downloaded, printing, reading soon, thank you.invisible asante. naona kweli tanzania soon patakuwa hapatoshi!
mafisadi kila pembe wanapigwa vita........lakini na wao mizizi yao imeenda mbali kweli kweli. kazi ipo.
Mkuu, it's the matter of time. Taratibu tutafika.invisible asante. naona kweli tanzania soon patakuwa hapatoshi!
mafisadi kila pembe wanapigwa vita........lakini na wao mizizi yao imeenda mbali kweli kweli. kazi ipo.
Contents
- Foreword by the religious councils of Tanzania
- Executive Summary
- About the authors
- INTRODUCTION
- CHAPTER 1 TAX REVENUES FROM GOLD MINING
- Tax payments
- Royalties
- Corporation tax and company profits
- Tax evasion
- Tanzanias lost income
- The governments mining review and its forked tongue
- The Buzwagi contract. Reform? What reform?
- International comparisons
- The state of the reserves is time running out?
- CHAPTER 2 DEMOCRACY AND CORRUPTION
- CHAPTER 3 LOCAL ECONOMIC DEVELOPMENT
- Local employment
- Discrimination against Tanzanians?
- Buying local goods and services?
- Community development spending
- Harnessing mining to development?
- RECOMMENDATIONS
- REFERENCES
- ACRONYMS
- GLOSSARY
Hii nchi inatisha jamani, viongozi wetu ni wezi, ******, wauwaji, waongo hawana hata soni,wanamiliki mabiashara yote makubwa, wanamiliki police, mahakama, wanamajibu ya hovyo kwa watu waliowaajiri (wananchi)wanabebana ajabu, they are above EVERYTHING jamani,matibabu yao ni nje ya nchi, hawana shida ya umeme, hawana shida ya chakula, malazi, hawana shida ya elimu, wanapeleka watoto wa nje ya ncj=hi kimasomo, kwa hela zetu, makazi, hawana huruma, wananchi wanazidi kudidimia wanazidi kufa kwa malaria maana dawa zote ni feki mtu yuko tayari kubadili dawa ilioexpire na kuitia kwny box linaloonyesha tarehe ya valid ili tu auze na kuto jali maisha, njaa na umaskini vimekithiri, kikwete anapinga sinema ya mapanki wakati ndicho kilichopo, kwanini lakini jamani
Jamani hivi mbona hamna huruma nyie viongozi jamani, jamani MUNGU huyo yuko wapi aje japo hapa TZ kwa siku moja tu eee Mungu tusaidie maana hakuwa atakaeweza zaidi ya wewe, sisi wananchi hatujui pa kukimbilia
Im lost....where is the clip to download the report............maana nime-click thread ya Invisible (Robot) mara ikani-direct huku....mara nakutana habari tangu tar 14 March...Mkuu Robot hebu tuhabarishe wengine tulioikosa hiyo ripoti wapi pa kuipata
............Mkuu Invisible........don't bother...............nimeshaiona