Justice & Respect in Mining

Justice & Respect in Mining

invisible asante. naona kweli tanzania soon patakuwa hapatoshi!
mafisadi kila pembe wanapigwa vita........lakini na wao mizizi yao imeenda mbali kweli kweli. kazi ipo.
 
Downloaded, printing, reading soon, thank you.
 
invisible asante. naona kweli tanzania soon patakuwa hapatoshi!
mafisadi kila pembe wanapigwa vita........lakini na wao mizizi yao imeenda mbali kweli kweli. kazi ipo.
Mkuu, it's the matter of time. Taratibu tutafika.
 
Mining.JPG

Contents
  1. Foreword by the religious councils of Tanzania
  2. Executive Summary
  3. About the authors
  4. INTRODUCTION
  5. CHAPTER 1 – TAX REVENUES FROM GOLD MINING
  6. Tax payments
  7. Royalties
  8. Corporation tax and company profits
  9. Tax evasion
  10. Tanzania’s lost income
  11. The government’s mining review and its forked tongue
  12. The Buzwagi contract. Reform? What reform?
  13. International comparisons
  14. The state of the reserves – is time running out?
  15. CHAPTER 2 – DEMOCRACY AND CORRUPTION
  16. CHAPTER 3 – LOCAL ECONOMIC DEVELOPMENT
  17. Local employment
  18. Discrimination against Tanzanians?
  19. Buying local goods and services?
  20. ‘Community development’ spending
  21. Harnessing mining to development?
  22. RECOMMENDATIONS
  23. REFERENCES
  24. ACRONYMS
  25. GLOSSARY

mkuu asante sana na tayari nishachukua copy yangu na nimo nnadadavua hivi
 
Hii nchi inatisha jamani, viongozi wetu ni wezi, ******, wauwaji, waongo hawana hata soni,wanamiliki mabiashara yote makubwa, wanamiliki police, mahakama, wanamajibu ya hovyo kwa watu waliowaajiri (wananchi)wanabebana ajabu, they are above EVERYTHING jamani,matibabu yao ni nje ya nchi, hawana shida ya umeme, hawana shida ya chakula, malazi, hawana shida ya elimu, wanapeleka watoto wa nje ya ncj=hi kimasomo, kwa hela zetu, makazi, hawana huruma, wananchi wanazidi kudidimia wanazidi kufa kwa malaria maana dawa zote ni feki mtu yuko tayari kubadili dawa ilioexpire na kuitia kwny box linaloonyesha tarehe ya valid ili tu auze na kuto jali maisha, njaa na umaskini vimekithiri, kikwete anapinga sinema ya mapanki wakati ndicho kilichopo, kwanini lakini jamani

Jamani hivi mbona hamna huruma nyie viongozi jamani, jamani MUNGU huyo yuko wapi aje japo hapa TZ kwa siku moja tu eee Mungu tusaidie maana hakuwa atakaeweza zaidi ya wewe, sisi wananchi hatujui pa kukimbilia
 
Nanavyomjua Mungu ni kwamba yuko fair pamoja na kilio cha watu wengi? mimi na wewe tukiwa wamojawao, bado kuna watu wengi wakiongozwa na kina kada mpinzania, mtu wa pwani na kundi lao (wako wengi) nao wanamwomba Mungu awalinde hao wanaotudhulumu. Mpaka hapo sauti ya watu wengi itakapo mfikia Mungu nakuhakikishia kuwa Mungu ata ACT. Moja ya kazi kubwa ya JF ni kuongeza idadi ya waombolezaji na inshallah! muda si mrefu kilio cha watanzania kwa mafisadi itakuwa ni kilio cha wengi na ndipo hapo tutashuhudia SODOMA
 
Im lost....where is the clip to download the report............maana nime-click thread ya Invisible (Robot) mara ikani-direct huku....mara nakutana habari tangu tar 14 March...Mkuu Robot hebu tuhabarishe wengine tulioikosa hiyo ripoti wapi pa kuipata

............Mkuu Invisible........don't bother...............nimeshaiona
 
http://www.jamboforums.com/showthread.php?p=159367#post159367

Ukurasa wa pili. Kwa wale ambao hawajaiona.
 
Back
Top Bottom