Justin Bieber Anaswa Na Kamera Katika Kitendo Cha Ngono

Justin Bieber Anaswa Na Kamera Katika Kitendo Cha Ngono

Ibrahim300

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Posts
390
Reaction score
68
Justin Bieber amenaswa live katika video ya ngono.

Staa huyu wa nyimbo 'Confident' amenaswa katika kamera katika kitendo cha ngono na madada wawili. Kulingana na mtandao wa Radar Online inasemekana tukio hilo lilifanyika nchini Queensland Australia mwezi wa November mwaka jana katika ziara yake ya kufanya shoo ya 2013.

Bieber ameonekana akijirusha nyuma ya migongo wazi ya madada hao wawili huku sehemu nyingine zikimuonyesha Bieber akiwavua madada hao chupi zao akitumia midomo.

Kulingana na Radar Online, video hio ambayo ni clear kabisa ya dakika 12 ilimuonyesha Bieber akifanya mambo yake na inasemekana kuwa muda huo wote Bieber hakuwa akijigundua kama alikuwa anarekodiwa katika video.

Video hio muda huu inauzwa katika vituo kadhaa vya habari kwa usambazaji.

Mwenyewe video hio anadai kuwa maisha yake yatabadilika pindi atakapoiuza video hio. Ni kama fortune kwake.
i.
 
Mastaa hasa wa marekani wanatakiwa kuwa makini wanachukua mademu kwenda kuparty nao kwenye rooms zao,kwani wengi wanatakaga kutumia fursa

Ilimtokea Prince Harry akiwa kwenye chumba cha hotel huko marekani,nilitegemea atakuwa amejifunza,ila wapi!!
 
Huyu dogo ni notorious sana. Ukiwa na pesa unaweza kufanya chochote bila kuulizwa
 
Hutu kijana mi huwa namfikiria tofauti sijui kwasababu Ana uzuri wa kike....
 
Kumbe sio peke angu, yani huwa namuhisi kama mzungu wa shilole

Hua unanichekesha wewee halafu wanafanana kweli na mzungu wa Shilole,kwa hiyo Shilole safari ya UK imekufa au atajikaza kisabunii
 
Hua unanichekesha wewee halafu wanafanana kweli na mzungu wa Shilole,kwa hiyo Shilole safari ya UK imekufa au atajikaza kisabunii

As long as picha limeandikwa to be continued....
tutaona atafanyaje,mmmh huyo shemeji nae!!!
 
Back
Top Bottom