Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Huyo ni msanii mkubwa lazima tujiulize anamatatizo Gani maana anaishi maisha kama ya fukara tofauti na Mimi ambaye hata nikiondoka Leo dunia haitojuawewe pia unasubiri kifo. umeandika kama hufi
Tajiri anaishi maisha ya mateso wakati mipesa ipo kibao aisee kama mashabiki zake lazima tujiulize imekuaje jamaaMaskini akimuonea huruma tajiri 🤣🤣🤣.
Nendeni VETA bladifakeni mkapate ujuzi.
We ulishawahi kuwa star Kwa kutengenezwa ukaharibiwa?
aliyekuambia anaish kwa mateso naniTajiri anaishi maisha ya mateso wakati mipesa ipo kibao aisee kama mashabiki zake lazima tujiulize imekuaje jamaa
Ila kweli mkuu japo tajiri alipatwa na ugonjwa flani hivi so hujafa hujaumbikaTajiri anaishi maisha ya mateso wakati mipesa ipo kibao aisee kama mashabiki zake lazima tujiulize imekuaje jamaa
Picha zinaonesha au we uonialiyekuambia anaish kwa mateso nani
Ugonjwa Gani mkuuIla kweli mkuu japo tajiri alipatwa na ugonjwa flani hivi so hujafa hujaumbika
Mimi nawatengeneza na kuwaharibu...We ulishawahi kuwa star Kwa kutengenezwa ukaharibiwa?
Wapi we fukara tuMimi nawatengeneza na kuwaharibu...
Jaribu kufatilia mkuu sijui ni syndrome gani Ile. Ilimfanya akaparalyse na kuwa Mzee ghaflaUgonjwa Gani mkuu