Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
- Thread starter
-
- #21
Fanya kaziNajitolea kukusanya michango ya kumpeleka Justin Bieber Sober house, kwa mwenye chochote aje Pm nimpe namba ya mchango kutoa ni moyo utabarikiwa na kupata kikubwa zaidi kwa kile utakachotoa
Bwana awabariki sana Ameen.
Hizo ni mbinu tu za kumchafua dogo fanya kazi mzeeBiber: "I lost myself at Diddy party."
Kazi yangu nafanya madhabahuni kwa bwana toa sadaka ili Bwana akuondolee matatizo yakoFanya kazi
Unafanya kazi Kwa bwana mbona hii Kali mzeeKazi yangu nafanya madhabahuni kwa bwana toa sadaka ili Bwana akuondolee matatizo yako
DuuhBenzino aliyechangamka
Bad memories zinamtesa.Tatizo sijui nini Kwa huyu dogo
Dogo inasemekana ni product ya human trafficking and sex abuse since he was a boy.Tatizo sijui nini Kwa huyu dogo
Hamna hizo ni propaganda tu za watu weusi Ili kumchafua dogo kwakua yupo vizuri kimziki kuzidi waoBad memories zinamtesa.
Akikumbuka aliyofanyiwa na didy ili azidi kupata mafanikio na umaarufu anazidi kuchoka anaona kutumia unga kushusha stress huku akibomoa afya yake.
Sio kweli hizo ni propaganda za mtu mweusi kwakua dogo yupo vizuri kimziki kuzidi waoDogo inasemekana ni product ya human trafficking and sex abuse since he was a boy.
Kwanini usijiulize ni kwanini familia yako ni masikini??Huyo ni msanii mkubwa lazima tujiulize anamatatizo Gani maana anaishi maisha kama ya fukara tofauti na Mimi ambaye hata nikiondoka Leo dunia haitojua
Dogo amepitia mengi sana nadhani ana depression. Akina diddy, mishangazi hadi kuna moja lilimvamia kumkiss wakati wa tuzo laiti angefanyiwa hivyo mwanamke dunia nzima ingemtetea ila kwakuwa alikuwa dogo wa kiume likaonekana jambo la kawaidaHuyu dogo alikua bonge Moja la msanii ila Sasa hivi naona madawa yashampeleka puta naona anasubiri kifo tu sababu hata ngoma mpya hamna kashazeeka na madawa kipi. Kipo nyuma Kwa huyu dogo mwenye sauti ya kipekee kwenye muziki
Hiyo ya Diddy ni propaganda tuDogo amepitia mengi sana nadhani ana depression. Akina diddy, mishangazi hadi kuna moja lilimvamia kumkiss wakati wa tuzo laiti angefanyiwa hivyo mwanamke dunia nzima ingemtetea ila kwakuwa alikuwa dogo wa kiume likaonekana jambo la kawaida
Dogo atakuwa na depression kwa aliyopitia
😃Hizo ni mbinu tu za kumchafua dogo fanya kazi mzee
Sasa hiyo si video ya kawaida tu ndio maana nasema ni propaganda