Kwanini wadhani ni propaganda?Hiyo ya Diddy ni propaganda tu
Propaganda tu hizo hamna kitu hapo endelea kuamini propaganda a.k.a udakuKwanini wadhani ni propaganda?
Story za diddy hazikuanza leo na si yeye tu mastar wengi zamani walikuwa wanaishi kama mbwa na matendo yao tanarudi kuwatafuna.
Hata usher raymond wanadai alipokabidhiwa kwake aliipata pata.
Mwingine wanayedai alikuwa mharibifu ni jermaine dupri hasa kwa wale vijana wa kriss kross
Ni suala la muda tu kitajulikana ila yeye mwenyewe alishasema alipitia trauma kwenye industry ya muzikiSasa hiyo si video ya kawaida tu ndio maana nasema ni propaganda
Propaganda wakati wananyea debe? Propaganda huwa zinaisha yanapita lakini wao wako korokoroni haoPropaganda tu hizo hamna kitu hapo endelea kuamini propaganda a.k.a udaku
Yah dogo kapitia mengi. Kuna ile video kakiwa kanapokea tuzo mmama anakaforce kukakiss kanakataa kama mzahaNi suala la muda tu kitajulikana ila yeye mwenyewe alishasema alipitia trauma kwenye industry ya muziki
Ananyea debe Kwa makosa aliyoyafanya Kwa wengine ila Kwa huyo dogo n ubaguzi wa rangi wa mtu mweusiPropaganda wakati wananyea debe? Propaganda huwa zinaisha yanapita lakini wao wako korokoroni hao
Alisema wapi mzee mbona mnakua mnapenda kusikiliza propaganda sana yaani Ile AI waliyoitengeneza watu weusi ndio yamekua matamshi yake aisee kweli mtu mweusi ni mbaguzi wa rangi namba mojaNi suala la muda tu kitajulikana ila yeye mwenyewe alishasema alipitia trauma kwenye industry ya muziki
Propaganda tu hizoAnatengeneza pesa tu kupitia mitandao Hana ugonjwa wwt zaidi labda wakutolewa rinda na ddy..
Shenzi kabs
Hiyo kawaida hamna Cha ajabu hapoYah dogo kapitia mengi. Kuna ile video kakiwa kanapokea tuzo mmama anakaforce kukakiss kanakataa kama mzaha
Kati ya makosa aliyonayo hakuna la huyu dogo, hayo ni maneno ya mtaani na wala yeye kama yeye zaidi ya kusema alifanyiwa mambo mabaya hajawahi kutaja nani alimfanyia. Si ubaguzi, mbona wanamsema kwa usher na usger hajawahi kuthibitisha.Ananyea debe Kwa makosa aliyoyafanya Kwa wengine ila Kwa huyo dogo n ubaguzi wa rangi wa mtu mweusi
Si kawaida alikuwa bado mtoto sana. Ingekywa dume linamfanyia mtoto wa kike wa umri ule dunia ingepiga keleleHiyo kawaida hamna Cha ajabu hapo
Kawaida tu hiyo hamna mtoto wa kiume mdogo Kwa mwanamkeSi kawaida alikuwa bado mtoto sana. Ingekywa dume linamfanyia mtoto wa kike wa umri ule dunia ingepiga kelele
Kwani Justin Bieber katolewa kimziki na diddyKati ya makosa aliyonayo hakuna la huyu dogo, hayo ni maneno ya mtaani na wala yeye kama yeye zaidi ya kusema alifanyiwa mambo mabaya hajawahi kutaja nani alimfanyia. Si ubaguzi, mbona wanamsema kwa usher na usger hajawahi kuthibitisha.
Streets talk hapo hakuna ubaguzi ni watu wanaunga matukio
Sikiliza interview yake kama una muda 👇Alisema wapi mzee mbona mnakua mnapenda kusikiliza propaganda sana yaani Ile AI waliyoitengeneza watu weusi ndio yamekua matamshi yake aisee kweli mtu mweusi ni mbaguzi wa rangi namba moja
Propaganda hizo wewe a.k.a udaku siwezi kupoteza mda na mb zangu kusikiliza udaku
Umesema mwenyewe kuwa "madawa yanampeleka puta", alafu unauliza "nini kipo nyuma?"Huyu dogo alikua bonge Moja la msanii ila Sasa hivi naona madawa yashampeleka puta naona anasubiri kifo tu sababu hata ngoma mpya hamna kashazeeka na madawa kipi. Kipo nyuma Kwa huyu dogo mwenye sauti ya kipekee kwenye muziki
We mbona umeweka alama ya kuuliza na huna ulichoulizaUmesema mwenyewe kuwa madawa yanampeleka puta, alafu unauliza nini kipo nyuma?
Justin alitambulishwa na usher kwa diddy, na wakawa wanangout wakati huo alikuwa mdogo akiwa na umri wa miaka 13 hivi.Kwani Justin Bieber katolewa kimziki na diddy
Wapi we fukara tu