Justin Timberlake Joins Bringbackourgirls

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304



kwa wale wana JF familia ambao hamfahamu ili, uko Nigeria boko haramu wameteka wadada zaidi ya 200 na watawauza hivyo kuna kampeni zimeanzishwa na mastaa wa marekani kutaka waachiwe huru. Kama mliangalia jana BBC Swahili, Obama kahaidi kupeleka watu kusaidia waachiwe. Tayari kuna mastaa kama Didy etc wameshaanza hizi kampeni
 
Maskini Nigeria serikali yao haiwajali mpaka wamarekani waingilie kati
 
Waafrika tumelewa DINI,thus why unakuta tunafanya mambo tofauti kabisa na wenzetu hao waliotuletea hizo dini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…