Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
kwa wale wana JF familia ambao hamfahamu ili, uko Nigeria boko haramu wameteka wadada zaidi ya 200 na watawauza hivyo kuna kampeni zimeanzishwa na mastaa wa marekani kutaka waachiwe huru. Kama mliangalia jana BBC Swahili, Obama kahaidi kupeleka watu kusaidia waachiwe. Tayari kuna mastaa kama Didy etc wameshaanza hizi kampeni