Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,551
- 2,153
Pole mkuu! Next time do not drink and drive....!
Rev... Mmmhhhh!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole mkuu! Next time do not drink and drive....!
Nimeona, bahati mbaya mimi sio mtaalam wa sheria...umeona eeh!
tumsaidie ndugu yetu wajameni....
WAPENDWA SANA,
taarifa mbaya kabisa ni kwamba yule mmoja wa wahanga wa ajali aliyekuwa hoi sana AMEFARIKI DUNIA.
sasa kwakuwa maskini_jeuri ndiye alikuwa dereva wa ile gari,ana ya kuendesha gari kwa vyovyote jamhuri itakavyoita(uzembe au vinginevyo) na kusababisha KIFO......!hivyo basi hapa ninavyowahabarisheni ni kwamba maskini_jeuri anaelekea Dodoma nyumbani kwake kwa ajili ya maandalizi na kujipanga kidogo,again jumanne ya tar 2/11/2010 ataripot kituo cha polisi morogoro na jumatano ni siku ya KESI mahakamani!
WITO WANGU:
TUmuombee Maskini_Jeuri mambo yake yaende vizuri lisije kutokea la kutokea!imani yetu tulio wengi ni kwamba ile ilikuwa ajali tu.
Tumuombee Maskini_Jeuri akipite kipindi hichi kigumu kwake na familia yake.I can imagine ''the hell of life'' he is going through kwa sasa.
Wenye GUTS zenu tunaomba msaada kama mnaweza kuweka ''mikono'' yenu kwenye hii issue maanake ''the way i look things'' ni kama jamaa yupo kwenye wakati mgumu kidogo.
Wasalaam,
Baba Gift
Wapendwa sana!
Ndio nimeingia Dodoma; kuiweka sawa familia ambapo muda wote tangu juzi nimekuwa nkiwasiliana nao kwa simu! kweli tumesawijika lakin pia kwa niaba ya familia nawashukuru wote kwa faraja zenu! kwa kweli kwa sasa ni kitu tunachokihitaji sana!
Kijana aliyefariki ndio alikuwa sababu kuu ya mimi kuwapa lifti wapiganaji wale yaani yeye pamoja na wenziwe kwa kuwa alikuwa na undugu na mtu ambaye aliwahi kunifundisha kazi huko miaka ya nyuma! kwa kweli huwa sitoi lifti na asilani kwa watu nisiowafahamu kabisa!
Lakini ndo hivyo yametokea;
Nawasiliana na wadau wangu wa kazi hapa Dodoma na pia familia kwa chochote kinachoweza kutokea! Woga upo siwezi kukataa.......ni kwa mara ya kwanza najikuta katika situation hii.........sina xperience ya chochote hivyo mawazo mliyotoa na mtayoendelea kutoa hapa nitayafanyaia kazi.
Labda nisahihishe kidogo kuwa kesi itaendeshwa katika mahakama ya wilaya ya Kilosa; hivyo nitasafiri kuelekea Mkikumi na hatimaye Kilosa katika tarehe zilizotajwa.
Asanateni sana

Documentation zote nilikuwa nazo na ni sahihi; kuanzia leseni yangu mpaka kadi ya gari na mengineyo
Documentation zote nilikuwa nazo na ni sahihi; kuanzia leseni yangu mpaka kadi ya gari na mengineyo
Kila jaribu lina mlango wa kutokea, so muombe Mungu akuonyeshe mlango katika hili jaribu lako MJ, pole sana.Documentation zote nilikuwa nazo na ni sahihi; kuanzia leseni yangu mpaka kadi ya gari na mengineyo
Documentation zote nilikuwa nazo na ni sahihi; kuanzia leseni yangu mpaka kadi ya gari na mengineyo
mumnsaidie basi kucheza asije akalamba karata nyekundu hapo!!Mkuu hii sio kesi kubwa....kawaida ukiweka mambo sawa, basi kesi inaisha siku ya kwanza tu....unasomewa mashtaka...unakiri...unapewa adhabu....kama ukicheza karata vizuri inakua ni faini ya tshs 20000 au 40000....pole kaka!
nakuaminia kamanda... Masa amesema dont drink and drive... je ulikua umedrink ukadrive?Documentation zote nilikuwa nazo na ni sahihi; kuanzia leseni yangu mpaka kadi ya gari na mengineyo