Juu ya ardhi ya Mungu tutembee kwa adabu sana, Angalia Picha hii halafu toa maoni yako

Mwache Marehemu apumzike kwa amini. Muda wake umekwishapita. Ni muda wa aliemuamini kumsaidia achapekazi.

Wacha kazi iendelee.
 
......kwani ni picha ya lini hii...tusije tukakomenti ktk namna ambayo na sisi ikatupelekea kujuta badae......
 
Aliyekuwa anahojiwa Sasa ndio master.

JPM kawaachia watu mazingira magumu sana ya maisha.

Polepole kaenda kutupwa huko ziwa nyasa
Hujui kitu ndani ya CCM hivyo vitu vya kawaida kila uongozi unakuja na timu yake angalia Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli kila kiongozi aliingia na timu yake na mshikamano wa CCM uliendelea kama kawaida kupingana ni kitu cha kawaida ndani ya CCM. Jaribu kufanya hivyo kwenye Saccos ya Chadema na Mwenyekiti wa maisha kama hutauwawa au kufukuzwa saccos kabisa! CCM chama kubwa sana na inambinu nyingi sana za kuwaangamiza wapinzani wake kisiasa.
 
Pole kwa msiba mkuu, maadhimisho utafanyia wapi?
 
Hii ni picha ya zamani wakati Makamba alikuwa ameitwa Makao Madogo ya CCM Lumumba kuja kuhojia kwa maongezi yake ya Simu na kina Nape na Kinana au unafikiri ya lini bibi kizee!!?
Wewe wasema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…