Basi waweza fuata taratbu kama kweli umedhamiria na hata kugharamikia marekebisho yatakayohitajika.Nadhani hawakujua pia hata cc tulikuwa wadogo na waliokuwepo wengi wametangulia MYH ila majirani na wazee na hata Bibi alisema hapo Kuna KABURI Tena chini ya chumba Cha kulala sasa Mimi nataka nikafukue nitoe mifupa nikaizike Tena hawataki gharama zote nitalipia mpaka ku rebuild wamekataa.
Wengi wamejenga juu ya makaburi bila kujua.Naomba msaada wa mawazo,
kaburi la baba yangu mdogo lilikaa muda mrefu bila kusafishwa.
Hakuzwikwa makaburini ila kwenye kiwanja cha familia.
Alifariki 1982/3. Eneo lile mji uliposogea ndugu wakapauza.
My father passed away watoto wa marehemu wapo ila hawajasoma hivyo hawajui waanzie wapi.
Mahali lilipo Kaburi imejengwa nyumba na ni chumbani kwa mwenye nyumba.
Nataka nianzishe mtiti maana wamegoma kuniuzia nyumba sasa mifupa ya marehemu naitaka!
Kama Dr Leakey alifukua fuvu la binadamu aliyeishi miaka milioni tatu,La huyo baba mdogo litakuwepo bila shaka.KafukueKweni mifupa ya binaadamu hupotea kaburini baada ya muda gani? Hebu tuanzie na somo la historia kwanza labda tutapata mwanga.
ZinjathropusKama Dr Leakey alifukua fuvu la binadamu aliyeishi miaka milioni tatu,La huyo baba mdogo litakuwepo bila shaka.Kafukue
Unawaambia nini ndugu zetu wachaga wanaozika kwenye makazi yao ?Huwezi kujenga juu ya kaburi alafu ukaishi kwa amani kwenye nyumba hiyo! Kaburi ni lango la mashetani yatakusumbua! Labda huwe mchawi ndo utakuwa na uthubutu wa kujenga juu ya kaburi! Watu wengine kiwanja tu kakaribiana na kaburi hanunui sembuse kujenga? Kwenye makaburi kuna maroho machafu na utaambatana na ndoto mbaya na mikosi!